Kanumba acha hizo hujavuka mto wewe!!!

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,478
12,733
Msanii ni kioo kwa jamii inayomzunguka, hivyo maneno yake ama matendo yake yanaweza kuwa na athari kubwa kwa jamii ama kuathiri kazi yake ya sanaaa.
Mimi nikiwa mmoja wa watanzania wanaohusudu sana kazi za kanumba hivi majuzi nilishutushwa sana na kauli za nguli huyu wa sanaa alizomtupia mama yake wa kambo na baba yake mzazi kupitia kipindi cha luninga.

Aisee ni bonge ya ukosefu wa busara kuropoka vitu vile kwenye media... Tena vitu vya kipuuzi. Etiiii mama yake kamkosea sanaaaa.... Kwa vile......

Aliambiwa akachunge mbuzi mchana wa jua kali........ Hivi wewe kilaza mbuzi wanachungwa usiku wa giza????
Aliambiwa akaopoe maganda ya viazi shimoni kwa vile aliambiwa akawape mbuzi yeye akayatupa hivyo akaambiwa ayatoe humo shimoni ....... Hapa inaonyesha jinsi kanumba ulivyokuwa jeuri na mtovu wa nidhama, kwa maelezo haya nimegundua kanumba ni kama taahira fulani haelewi hata anachokisema.

Usijione leo umefanikiwa sana ndugu yangu... Usitukane mamba kabla hujavuka mto..... Hujafa hujaumbika.... Mdogo wangu ulichomfanyia baba yako na mama yako sio fair. Vihella vyenyewe vya kuigiza??? Je ungekuwa umezipata kwa kusoma si ndio ungeeenda kumchapa risasi kabisa. Naona wewe huwajui wasukuma... Utatatembe uchiiiiiii...... Mpaka ukome.

Sisi tulilelewa na mama zetu wa kambo na malezi makali kuliko yako.... Lakini leo hiii tumewajenge mijengo mikali na wanaishi kifahari ile mbaya maana sijui kesho kutakuchaje.

Umenitibua sana maana mama woote wa kambo sasa hivi hwakupendi.
Umejenga chuki kati ya watoto wa kambo na mama zao huko majumbani.....
Unaeneza roho ya chuki miongoni mwa wanafamilia.....

Umeboa saaaaana...... Watu wameuchuna tu ila mimi nimeona nikupe laivu......

Jiangalie sana au nenda kabisa kwa yule mganga wako..... Maana dingi ataku.............. Nawasilisha
 
Hela ni hela tu.Iwe imepatikana kwa kuigiza au kwa kusom.Ili mradi tu ni jasho la mtu,hajadhurumu mtu
 
Sinaga muda wa kuangalia wasanii wauza sura kama kanumba, mtu ambaye anajutia kuwa mweusi
 
Kanumba bado mshamba wanashindana yeye na ray,haa ray kanunua v8 na yeye akanunu,ray kanunua verossa na kanumba akanunua verossa na mark ii grande gx110,haaaaaaa,watuonyeshe mijengo na mihekaru yao!
 
Mama wakambo daima anakua hana bahati kamachumvi, na huyu bwana yeye akiwa kama mwanamme asiwe na mambo yakuweka vitu vyakipuuzi kama hivyo tena kama nimimi ningewasaidia mpaka ndani ya nafsi yao wangejuta kwanini wamefanya ubaya,sababu
hulipizi mabaya kwa ubaya bali unalipiza mema..
 
True dat
 
Umenitibua sana maana mama woote wa kambo sasa hivi hwakupendi.
Umejenga chuki kati ya watoto wa kambo na mama zao huko majumbani.....
Unaeneza roho ya chuki miongoni mwa wanafamilia.....

Umeboa saaaaana...... Watu wameuchuna tu ila mimi nimeona nikupe laivu......

Jiangalie sana au nenda kabisa kwa yule mganga wako..... Maana dingi ataku.............. Nawasilisha

Vipi Mkuu mbona unawawekea watu maneno midomoni??, usiusemee moyo wa mwenzio
 
mama wakambo daima anakua hana bahati kamachumvi, na huyu bwana yeye akiwa kama mwanamme asiwe na mambo yakuweka vitu vyakipuuzi kama hivyo tena kama nimimi ningewasaidia mpaka ndani ya nafsi yao wangejuta kwanini wamefanya ubaya,sababu
hulipizi mabaya kwa ubaya bali unalipiza mema..

respect mkuuu......
Hiyo ndiyo tiba ili wa nyumba ya pili nae akiona hatamtenda mabaya mtoto wa kambo....

Watoto wa kambo msiwe kama kanaumba plzzzz!
 
mnatoaga wapi muda wa kumuangalia huyu mtu?? Au kwenye mabasi..

una- icameruni hii jamvi.... Maana huku ndiko wanaita kwa mastaaa si huyu dogo nae ni nyota.... Au ni mwezi au ni jua.... Tueleze mkuuu. Au wewe ni mgeni humu jamvini?
 
vipi mkuu mbona unawawekea watu maneno midomoni??, usiusemee moyo wa mwenzio

mkuu namaanisha kanumba akinyoa kiduku kesho yake utaona mtoto nae kanyoa vilevile... Akivaa hivi... Utaona watoto ama wafuasi wake nao wanafanya vile.... Wakienzi msemo ule wa wahenga kwanga msanii ni kioo cha jamiii. Sasa kama viooo vyenyewe ndio hivi..... Unafiki itakuwaje.
 
Msanii ni kioo kwa jamii inayomzunguka, hivyo maneno yake ama matendo yake yanaweza kuwa na athari kubwa kwa jamii ama kuathiri kazi yake ya sanaaa.
Mimi nikiwa mmoja wa watanzania wanaohusudu sana kazi za kanumba hivi majuzi nilishutushwa sana na kauli za nguli huyu wa sanaa alizomtupia mama yake wa kambo na baba yake mzazi kupitia kipindi cha luninga.

Aisee ni bonge ya ukosefu wa busara kuropoka vitu vile kwenye media... Tena vitu vya kipuuzi. Etiiii mama yake kamkosea sanaaaa.... Kwa vile......

Aliambiwa akachunge mbuzi mchana wa jua kali........ Hivi wewe kilaza mbuzi wanachungwa usiku wa giza????
Aliambiwa akaopoe maganda ya viazi shimoni kwa vile aliambiwa akawape mbuzi yeye akayatupa hivyo akaambiwa ayatoe humo shimoni ....... Hapa inaonyesha jinsi kanumba ulivyokuwa jeuri na mtovu wa nidhama, kwa maelezo haya nimegundua kanumba ni kama taahira fulani haelewi hata anachokisema.

Usijione leo umefanikiwa sana ndugu yangu... Usitukane mamba kabla hujavuka mto..... Hujafa hujaumbika.... Mdogo wangu ulichomfanyia baba yako na mama yako sio fair. Vihella vyenyewe vya kuigiza??? Je ungekuwa umezipata kwa kusoma si ndio ungeeenda kumchapa risasi kabisa. Naona wewe huwajui wasukuma... Utatatembe uchiiiiiii...... Mpaka ukome.

Sisi tulilelewa na mama zetu wa kambo na malezi makali kuliko yako.... Lakini leo hiii tumewajenge mijengo mikali na wanaishi kifahari ile mbaya maana sijui kesho kutakuchaje.

Umenitibua sana maana mama woote wa kambo sasa hivi hwakupendi.
Umejenga chuki kati ya watoto wa kambo na mama zao huko majumbani.....
Unaeneza roho ya chuki miongoni mwa wanafamilia.....

Umeboa saaaaana...... Watu wameuchuna tu ila mimi nimeona nikupe laivu......

Jiangalie sana au nenda kabisa kwa yule mganga wako..... Maana dingi ataku.............. Nawasilisha
Kama umemsingizia BAN inaeweza kukuhusu?
Next yeye thats how he feels...kwa mama wa kambo sio lazima afeel wewe unavyo taka...hivi mnatoanga wapi hizi nguvu za kutaka watu wafanye mnavyo taka nyie kisa wewe unaangalia movie zake? wewe asinge kuwa maarufu hata usinge changia hili...mwache kijana asema anachoona hakikuwa sawa....pengine kasema ana kitu kingine in background kimemsukuma kusema hayo...

Total C.R.A.P......Kila mtu ana feel tofauti na mwingine.
 
nadhan mtoa mada ana point nzuri! kanumba ni maarufu na ana influence kwa watu wengi na hasa kwa kina mama na watoto(kwa kuwa ndio wateja wakubwa wa hzo movies zake) hakutenda haki kuwatangaza wazazi wake kwenye media kwa kiasi kile! je nani ana uhakika na alichokisema? si busara hata kidogo hata kama ni kweli!
 
Back
Top Bottom