Kanisa la Wasabato Mnapaswa Mkosoe maovu ya serikali zaidi kuliko kukosoa wenzenu wa Roman Catholic

Roho zinaishi kwenye miili.
Sasa mbona wanahitaji mambo ya mwili kama zaka na sadaka kama lengo ni kiroho?
Narudia tena sio jukumu la kiongozi wa dini kumpangia kiongozi wa kisiasa
aendesheje siasa zake.

Nashangaa viongozi wa dini wanapata wapi muda wa kurumbana na wana siasa hali ya kuwa waumini wao wanafanya mambo ya hovyo mitaani.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Utapiganiaje Haki bila kujihusisha na siasa, hapo ndio uje na Facts?
Sasa like na sifa zitanisaidia nini Mimi?

Alafu kama wewe ni Msabato basi umenianbusha sana. Nilitegemea uje kwa hoja ili hata wasiowasabato wakisoma washawishike na hoja zako.
Sasa kama yesu hakuingia kwenye siasa Unafikiri kilichomfanya asulubiwe ni nini? Embu tumia akili hata kidogo.
Kwa hiyo Yesu alisulubiwa kwa sababu ya siasa upo sawa kweli wewe?
 
mafarisayo walimuambia ondoka hapa Herode anataka kukuua

Sasa hapo Yesu alijihusishaje na siasa?

Hofu ya Herode ilikuwa ni Yesu kuitwa mfalme wakati huo huo Herode naye alikuwa ni mfalme

Hata kama ni wewe mtu ukiona anataka kuchukua cheo chako utafanyaje

Heroes ni mtawala, mwanasiasa, atamuuaje mtu ambaye hajihusishi na Siasa?
Unafikiri kwa nini walikuwa wakimuita Mfalme wa Wayahudi?
 
Narudia tena sio jukumu la kiongozi wa dini kumpangia kiongozi wa kisiasa
aendesheje siasa zake.

Nashangaa viongozi wa dini wanapata wapi muda wa kurumbana na wana siasa hali ya kuwa waumini wao wanafanya mambo ya hovyo mitaani.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hiyo ni katiba,biblia au Quran?,

Nikupe mifano ya Manabii na mitume waliokosoa watawala?
 
Sidhani kama uko sahihi mkuu, SDA siyo chama cha kisiasa, kwanini iingilie mambo ya kisiasa? Pia kwa msabato wa kweli haruhusiwi kujiingiza kwenye siasa!

Kwahiyo msabato kumkosoa mroma ni sahihi maana wote wako kwenye taasisi za kidini.
Umeshindwa kumwelewa mleta mada? Basi wewe ni aidha slow learner au msabato masalia mwenyewe.
 
Kanisa litaikosoa serikali pale inapoenda kinyume na neno.
Na sio kinyume na katiba
Katiba imeundwa na wanadamu inakosewa.
Ila neno ni la Mungu halikosewi
Kanisa haliwezi kushikilia msingi wa mwanadamu.
Kwakuwa sio yakini.
Ila msingi wa neno la Mungu
Sasa kanisa linakosoa mikataba,mara sijui linadai maji,mara shule, mara bandari.
Upuuzi kw kanisa
Walewale? Kuelewa kazi sana.
 
Hamjachelewa bado njooni katika kanisa la kweli la Waadventista wasabato, tutakemea maovu daima na kuifuata kweli ndio nguzo yetu

Suala la kuikosoa serikali mnataka tugeuze madhabahu kuwa jukwaa la siasa??? Hapana, tutafanya uinjilishaji na kutangaza neno la Mungu kwani lengo letu ni kila mmoja aje kwa Yesu

Sawasawa!
Serikali ikikosea ukaikosoa na kuirekebisha ndio kufanya siasa?
 
Ni ngumu sana kusikia Kanisa la Sabato likikemea maovu ya Serikali. Kwa upande wangu sijawahi kusikia. Ila wakati huohuo ni rahisi kusikia kanisa la Wasabato wakiipongeza serikali na kuiombea. Hapa ndipo Watibeli tunapoona kuna tatizo fulani la Unafiki.
Wasabato si ndiyo wana uwezo wa kwenda popote duniani bila pasport, nauli wala Visa? Usiwategemee siyo wenzetu
 
Mkuu, dunia ni kubwa, huwez fanya kila kitu, lazima kuwe na professionals na mipaka yake,

Huwezi sema kila mtu atumie platform yake kuisema serikali, itakuwa ni ovyo sasa, mtoa mahubiri ahubiri neno la bwana, kuna watu kibao wapo kwenye siasa from grassroot level mpaka national level, waache wafanye kazi yao,

Masuala ya kugeuza dini kama sehemu ya siasa mwisho tutaishia kuchaguana kwa dini, baadae tutumbukie kubaya,

Unataka kuwa mwanasiasa ingia siasani,

Baadae mtasema mbona madaktari hawakosoi serikali
Sawa msubirieni mbowe awasemee
 
Mkuu, dunia ni kubwa, huwez fanya kila kitu, lazima kuwe na professionals na mipaka yake,

Huwezi sema kila mtu atumie platform yake kuisema serikali, itakuwa ni ovyo sasa, mtoa mahubiri ahubiri neno la bwana, kuna watu kibao wapo kwenye siasa from grassroot level mpaka national level, waache wafanye kazi yao,

Masuala ya kugeuza dini kama sehemu ya siasa mwisho tutaishia kuchaguana kwa dini, baadae tutumbukie kubaya,

Unataka kuwa mwanasiasa ingia siasani,

Baadae mtasema mbona madaktari hawakosoi serikali
Sasa kazi ya dini ni nini ? Ikiwa viongozi wa serikali wanatenda unyama, wanaiba kura na nyinyi mnaona hilo msiseme eti sio kazi yenu

Mnamsubiri mbowe awasemee
 
Inamana mpaka leo haujajua kipimo cha kanisa halisi na la kweli la Mungu.

Mungu aliweka vipimo na mizani.

Ili wanawake waliweke kila kanisa na kulipima.

Kama halitoshelezi basi Mungu hayuml ndani yake.

Wengi wanadhani wapo na Mungu kumbe ni zamani walishamuacha.

Mariamu na yusufu walizani hvyo pia kumbe walimuacha hekaluni.

Kanisa ni mwiko kujihusisha na siasa.

Kudai haki , ama kampeni zozote zile.

Kazi ambayo kanisa limeachiwa ni kuhubiri injili kwa kila kiumbe, kazo ambayo makanisa hawaitaki kabisa kwa sasa

Wapo bize na mashule,mahospitali, vyuo na mambo mengine ya kidunia.

Hayo ni mazuri ila sio kazi ya kanisa halisi.

Biblia inasema katoliki ni kahaba mkuu na mama wa makahaba, amezaa binti makahaba wanafanana nae

Na kila kanisa litalotoka kwa roman mwisho wa siku hurudi tena kwenye mifumo ile ile waliyotoka
Kkkt, anglican, pentecost na mengine yote.

Katoliki ni adui kuu wa dunia hii, ushoga upo nyuma ya vatican,marekan ni mdomo wake tu.

Uchafu wote wa makanisa asili ni roman.
Naomba mstari kwenye Biblia unaosema Katoliki ni kahaba mkuu na mama wa makahaba please!!!
 
Kukosia sio kuhukumu.

Ufunuo wa Yohana 3:19
[19]Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.


Sasa ww unadhani mungu atashuka akuambie kwa upepo wakisulisuli.
Yeye hutumia binadamu kukusahihisha.

Ukiona unanafasi yakusahihishwa na Mungu basi jua ungali anakupenda
Ila ukiona hakuambii kitu basi alishakizira.


Waebrania 12:5-6
[5]tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi kama kusema na wana,
Mwanangu, usiyadharau marudia ya Bwana,
Wala usizimie moyo ukikemewa naye;

[6]Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi,
Naye humpiga kila mwana amkubaliye.


Tatizo mnatetea ukatoliki kuliko biblia mnayodai mnaiamini
Wapi biblia imewapa wasabato hiyo haki ya kukosoa wengine?

Punguzeni ujuaji.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sawa msubirieni mbowe awasemee
Mimi sio msabato, ila sipend hii issue ya wanasiasa kugeuza viongozi wa dini ni wanasiasa,
Itafika kipind cha uchaguzi TEC waseme wao hawaridhishwi na CCM bali wamependa sera za ACT ndio nzuri, kisha wasabato wakasema za CHADEMA ndio nzuri, KKKT wakazipenda za CCM,

Utakuta tunaanza kuchaguana kwa misingi ya dini, hatuna uhaba wa wanasiasa Tz kiasi cha kuanza kulazimisha viongozi wa dini wawe wakosoaji/wasifiaji wa serikali, wabaki kuwa observers wa karibu,

Tukiwaingiza sana kwenye siasa kuna siku tutalia
 
Back
Top Bottom