Kabla hujamjaji pastor masanja kwanza fanya uchunguzi yeye Kama yeye ana miradi mikubwa ikiwemo mashamba Sasa naona umeamua kumchafua mtumishi wa Mungu siyo vizuri Mungu hapendi
Kila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
Nikutakie ibada njema mama mchungajiUnakichaa kijana kwakua mimi ni mchangiaji kama wewe basi nawewe ni subject kutembeza makalio yako humu khaa
Chuki zako binafsi zinakusumbua wewe
Mbona kijana wawatu hana tatizo ile nyimbo yake ya kemea pepo utakua mhusika mkuu sio bure.
Tatizo mambo ya kiimani hayaingiliwi
Sijaona ubaya wowote kwa kijana huyu.Ninchoweza kushuri wewe uendelee na hilo lako hayamengine waachie wahusika wanajua wanachofanya na wanafanya kwaajili ya nani

huyu hapa muumini wake wa kwanzaChuki zako binafsi zinakusumbua wewe
Mbona kijana wawatu hana tatizo ile nyimbo yake ya kemea pepo utakua mhusika mkuu sio bure.
Haswaaa... mi nashangaa watu wanaomlaumu kwamba ni mpigaji nk. Nyie mnataka aishi vipi hapa mjini? Kijana ameamua kutumia vizuri fursa baada ya kipaji chake cha uchekeshaji kumletea umaarufu akaona ajiongeze aendelee kupiga pesa, nyie mnamlaumu. Angekua kafulia saizi hana mbele wala nyuma, pia mngekuja hapa kumsengenya...!Mjini hakuna mashamba mkuu lazima akili kumckichwa ukilemaa unalima lami.
Nikutakie ibada njema mama mchungaji
Ahhahaha mkuu mimi hata mlango wa hilo kanisa silijui mimi kwangu Ni Amani Cristian center tabatahuyu hapa muumini wake wa kwanza
Yule ni tapeli,mchumia tumbo na chawa level 1. Hakuna mchungaji pale
Wewe unataka wale wapi , biblia imeruhusu wachungaji kula vya madabahuniMtumishi wa mungu Au mpigaji tatizo huna macho ya kiroho,masanja ni mpigaji tuu Na anadili na watu kama nyie kuwalamba izo noti Kwa kua hamjielewi