Kila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza