Pale mito ya baraka ndipo kilipo kisima cha fake pastors. Shetani mzimamzima yuko pale.Huyu si alikuwa anasali Mito Ya Baraka?
Ok nimekupata ina kukaa na kumsema mtu kibaazani sindo umvea wenyewe .Sio chuki binafsi masanja ni SNITCH
Mcgungaji gani ambaye anathubutu kupanda kwenye majukwaa ya kisiasi na kudhihaki afya ya mtu mwingine kwa kuigiza kajinyea?
Kipindi mitandao imefungwa Masanja alishawahi kusema kwamba kuna watu wanasambaza uongo kwamba serikali imepoga ban twitter eti mpaka vpn wakati mimi natumia bila vpn
Kipindi cha kampeni anafunga kanisa anakua kwenye msafara wa ccm yani msanja ni mzee wa fursa kama yuda![]()
Hii ni public forum tuna discuss vitu, mtu, hadi idea ambayo ni ya kufikirikaOk nimekupata ina kukaa na kumsema mtu kibaazani sindo umvea wenyewe .
Kweli mkuuTatizo mambo ya kiimani hayaingiliwi
Sawa mkandamizwaji mama masanja
Yanaingiliwa tuTatizo mambo ya kiimani hayaingiliwi
Kwan ukiwa me ndio huwez kuwa mama mkandamizwaji?Chunga bakuli lako mi ni me kachek profile boya wewe
Kwaiyo baba yako ako anaweza kua mama mkandamizwajwiKwan ukiwa me ndio huwez kuwa mama mkandamizwaji?
Baba angu haitwi Balanciaga Jr ambaye ndio subject hapaKwaiyo baba yako ako anaweza kua mama mkandamizwajwi
😅😅 umevurugwaaBaba angu haitwi Balanciaga Jr ambaye ndio subject hapa
Unakichaa kijana kwakua mimi ni mchangiaji kama wewe basi nawewe ni subject kutembeza makalio yako humu khaaBaba angu haitwi Balanciaga Jr ambaye ndio subject hapa