Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

Kanisa la moroco waumini hawanwyi chai wao asubuhi ni juice tu wakiamini chai na kahawa vina content sio nzuri kwa mwili wa binadamu.

Moja ya kanisa lina safari nyingi za kwenda America. Wanaamini wewe muumini unaweza kujiombea sio mpaka uwende kwa apostle
 
Ili kuwa muumini wao inabidi ufanye nini?
 
Kwa lile la Morocco sijalifahamu vizuri, ila hili la Kristo kwa ninavyolielewa halina shida yeyote na ni moja kati ya makanisa kongwe sana hapa nchini...lipo karibia mikoa yote ni maarufu kama " KANISA LA KRISTO". Tofauti ni kwamba hawa sio watu wa tikadi kali kama makanisa mengine ya kilokole. Wamebase sana katika kufundisha biblia na ibada zao huwa ni fupi, pia halina waumini wengi. (Utaratibu wao hautofautiani sana na wale Mashahidi wa Yehova).
Ibada yao ni siku gani na saa ngapi?
 
Christ embassy church also known as believers' love world incorporated, is a mega church and Christian domination founded by pastor Chris oyakhilome in 1990
Head Quoter Lagos Nigeria

Lagos have 40,0000members and 1million world wide

Pastor Chris and Reverend Anita

Top secret
Case closed
 
Kanisa la morroco ni la mormon na biblia yao imeandikwa The book of mormon hawatumii Biblia Takatifu, kanisani wanavaa suruali nyeus na shati jeupe Dunia nzima, limeanzia marekali, waumuni wao wengi wanaongea kiingereza hata vijana wao wanaogawaga vipeperushi hawajui kiswahili, limeanzishwa na jamaa mmoja anaitwa joseph smith, baada ya kukaa mda mrefu bila kuwa na dini, baada ya kufika umri wa utu uzima aliwaza kwenda kanisani ndipo, hiyo siku amelala akapata maono ya kuanzisha kanisa hili na kutumia biblia tofauti, ni historia ndefu ukitaka kujua zaid ingia google
 
Kwa hiyo ibada zao zote ni kiingereza
 
Christ embassy church also known as believers' love world incorporated, is a mega church and Christian domination founded by pastor Chris oyakhilome in 1990
Head Quoter Lagos Nigeria

Lagos have 40,0000members and 1million world wide

Pastor Chris and Reverend Anita

Top secret

Mkuu umetoa boko lile sio christ embassy bali ni church of christ of later days saints(kanisa la kristo la watakatifu wa siku za mwisho) makao makuu yake yako uttah marekani kama sijatoa boko nadhan
 
Na kama wewe sio muumini huruhusiwi kukanyaga hapo
Mkuu Mshana sidhani kama ni kweli; nilipokua nafanya mtihani wa form 6 mwaka 1996 nili opt pia kufanya somo la Divinity na mafundisho ya mtihani huo niliyapatia hapo Mwembe Chai, kulikuaga na mchungaji wao mzungu hivi na anaongea Kiswahili kizuri tu; nilikuja gundua wana tofauti kadhaa za Kikristo na wengine but kwakua sio sehemu yake hapa sitazisema hizo tofauti zao.
 
Christ embassy church also known as believers' love world incorporated, is a mega church and Christian domination founded by pastor Chris oyakhilome in 1990
Head Quoter Lagos Nigeria

Lagos have 40,0000members and 1million world wide

Pastor Chris and Reverend Anita

Top secret
ACHA UPOTOSHAJI WEWE CHRIST EMBASSY CHURCH NI KANISA TOFAUTI KABISA NA KANISA ANALOULIZA MDAU. KANISA ANALOULIZA MTOA MADA HAPA NI CHRIST CHURCH HILI KANISA NI TOFAUTI KABISA NA CHRIST EMBASSY CHURCH
 
Tupe hata kidogo mkuu
 
Tupe hata kidogo mkuu
Mimi sikua naenda kusali pale, tulikua tunafundishwa tu mambo ya divinity baaasi; kwa ujumla mwalimu yule (nadhani alikua Mmarekani) alikua vizuri kwenye kuifundisha divinity but again niligundua wana vitu Fulani hivi vya tofauti wanavyo viamini.
 
Si ndio uviseme mkuu, tuko hapa kuhabarishana
 
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunisimulia kitambo sana kuwa ukiingia lugha wanayotumia kusali huwezi kuelewa kwa urahisi alafu unapewa msosi wa hatari
Kwa lipi? La magomeni au la morroco?
 
Mimi sikua naenda kusali pale, tulikua tunafundishwa tu mambo ya divinity baaasi; kwa ujumla mwalimu yule (nadhani alikua Mmarekani) alikua vizuri kwenye kuifundisha divinity but again niligundua wana vitu Fulani hivi vya tofauti wanavyo viamini.
...umerudia tu maelezo,
..hujakidhi haja!
 
ukiingia kanisa hilo ni sawa na kuingia masonic temple ,hata ibada zao zina uelekeano-kwa mujibu wa literature review.linaitwa kanisa la kristo la watakatifu wa siku za mwisho kwa kiingereza church of Christ of letter days saints ,
 
Nimeona mdau mmoja akiuliza kuhusu Kanisa la Silom na Mimi nikapata wazo la kuuliza kuhusu makanisa mawili niliyotaja hapo juu. Hivi haya makanisa yana wahumini kweli maana sijawahi kuona watu wakiingia kuabudu wala kuona magari yamepaki nje pamoja na kuonekana kuwa ni makubwa sana.

Samahani kama nitakuwa nimemkwaza mtu
Mimi nalifahamu kanisa la Kristo Magomeni karibu na sheli yenye sanamu la Michelin.

Nililifahamu kupitia kwa rafiki zangu wakati tunasoma high school, baada ya kuonesha nia ya kufanya mtihani wa divinity. Walimu wengi waliokuwa wanafundisha shuleni, walikuja kufundisha madhehebu yao, hivyo tukaona hatari ya kushindwa mtihani, hivyo tukalazimika kutafta mwalimu aliyekuwa anafundisha syllabus ya divinity, tukampata Mwl. James Mhenga wa kanisa la Kristo magomeni. Huyu alitusaidia sana wanafunzi wa divinity japo hakuwahi kutualika kuingia kanisani kwao, nadhani mambo ya professional ethics, alitaka uelewa wetu ndo uamue kujiunga nao au tuendelee kusoma tukimakiza tusepe. Hatukuwa tunalipa chochote, ila tulipomaliza walitupa zawadi ya biblia english version.

Kwa sasa na mimi ni mkristo, muumini wa kanisa la Kristo.

Kujibu maswali yako ni kuwa:-

1. Kanisa la Kristo magomeni, ni tofauti na lile la Morocco. Morocco sijawahi fika kuabudu hivyo siwajui kabisa. Ila wao hawaitwi kanisa la Kristo, bali wanaitwa kanisa la Yesu Kristo(Jesus Christ Church) nadhani wakati la Magoneni linaitwa Kanisa la Kristo(Church of Christ)

2. Kuhusu waumini, Kanisa la Kristo magomeni wapo waumini na kwa kipindi kile zilikuwa misa mbili. Ya kizungu asubuhi saa 06:00hrs hadi 09:00hrs, hafu inaanza ya kiswahili 09:00-12:00hrs. Hivyo kuna waumini, lkn ni wanaojielewa kwa nini ni waumini ndio maana ni wachache sana.

Maana ukiwa muumini wa kanisa, maana yake lazima umebatizwa. Ukisha batizwa, nawe unakuwa kuhani. Utarndesha ibada, utahubiri, utabatiza, utaomba n.k.

Ukiwa kanisa la Kristo, ngumu kumpata mtu anayeitwa Askofu au mchungaji, maana sifa za daraja hilo, ni Mungu mwenyewe anayejua nani ni askofu.

Pia hakuna kiongozi wa kanisa anayelipwa, labda kama umepewa kazi mfano ya kufundisha wanafunzi, michango ya kanisani(sadaka) utapewa posho kwa kazi hiyo, siyo kama madhehebu yafanyavyo ambapo wamejitengenezea ajira
 
Back
Top Bottom