Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,643
- 21,266
Wanaweza kufungua baada ya deadline ya zile siku 10 kupita na sio kabla. Chura Kiziwi ana kaujeri flani hivi na hatopenda aonekane ni dhaifu: Rais mwenye jinsia ya kike....
Siku zimeisha wameshafungua? 🤣🤣🤣🤣Ni kweli,ni maarufu kwenye ujinga.
Leo ni leoSiku zimeisha wameshafungua? 🤣🤣🤣🤣
Gwajima anawapiga kura wangapiSerikali kabla ya kufungua makanisa wanataka muafaka wawe kitu kimoja - Aunge mkono CCM na uchaguzi mkuu kwa kauli moja - Gwaji kwa upande wake anataka wafungue makanisa bila sharti hata moja. Patamu hapo.
Ngoja wasifungue ili inyeshe tena😄Siku zimeisha wameshafungua? 🤣🤣🤣🤣
Kesho sii mbaliBado siku 2. Hadi keshokutwa kama watakuwa hawajafungua hilo kanisa, wajipange kwa makombora mazito kutoka kwa Askofu Gwajima. Kama mbwai iwe mbwai tu!
alhamisi ilikuwa bado siku nne, leo jumatatu bado siku mbili, siku zenu zina masaa 48?Ni keshokutwa, sio kesho mkuu.
Nami nilitaka kuuliza swali hilo hilo?Siku zimeisha wameshafungua? 🤣🤣🤣🤣
why exclude weekends kwani hizo siyo siku?Siku za weekend hazihesabiki mkuu. Alitoa an ultimatum of 10 working days (excluding weekend days).