Kanisa katoroki kuliomba taifa ni sawa au ulaghai?

Kanisa katoroki kuliomba taifa ni sawa au ulaghai?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Kwanini wasiwaombee wagongwa mahospitalini,vita ya kongo,vita ya israel na palestina,nk?

Mbona waTz mnakuwa mataahira hivi jamani?uzuzu gani huu?wao wenyewe wanaotaka kuombea taifa ndugu na jamaa zao wanaowazunguka wana hali mbaya kiuchumi,afya,nk kwanini wasiwaombee hao?

Au wanawaombea viongozi wenzao waendelee kuwa mafisadi,wezi,wanafiki,waongo,nk?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom