peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,827
- 21,447
Hizo sheria zao wabaki nazo. Siku hizi makanisa ni mengi kama shule za msingi.Sheria za kanisa katoliki sio za mchezo mchezo.
Hizo sheria zao wabaki nazo. Siku hizi makanisa ni mengi kama shule za msingi.Sheria za kanisa katoliki sio za mchezo mchezo.
Mkuu si hukumu,hayo ni maamuzi ya kanisa,hakuna hukumu hapo ni kanisa kama kanisa limeona hastahili kupata huduma ambayo wakati akiwa hai hakuithamini.Mmmh tunaanza kuhukumu ...the..bible says " usihukumu usije ukahukumiwa" ...... ..... Hauwezi ukajua kila muumini ana imani gani ndani yake hata kama anahudhuria kanisani _____ wengine ni sawa na vichwa vilivyo baki tu Ila kiwiliwili kwa Shetani .....
NB.. Usihukumu usije ukahukumiwa ..... Biblia imetuwekea mitego mingi ndg zangu ..
Usilolitambua ni kwamba Kanisa ni sehemu ya jamii.Wewe mtu mmoja uliyesaidiwa figo pia ni sehemu ya jamii na huenda ukawa muumini pia.Matendo yako na maisha yako kiujumla yanapaswa kufuata na kuiishi misingi ya imani katoliki.Kutoa msaada pekee haiwezi kuwa kigezo cha kuwa mfano katika jamii pasipo na kielelezo cha kuishi maisha ya matendo mema na ya mfano kwa jamii.Unaweza kuwa jambazi lakini unatoa misaada.Unaweza kutoa figo lakini ni muuaji au mzinzi.Ndio maana kanisa likaweka vipimo vyake au miongozo ya kuishi imani ya Kristu ambayo ni kama hayo yaliyoelezwa,Kuhudhuria misa takatifu,kuhudhuria jumuiya,kushiriki ekaristi takatifu,Sakramenti ya kitubio,kutembelea wagonjwa n.kHata madictator hupigiwa mizinga lakini heshima yao halisi kwa jamii ya mtu mmoja mmoja ni tofauti. Marehemu aliyekuchangia figo ukaishi asipozikwa na kanisa sababu paroko kakataa haidhuru heshima uliyo nayo kwake. Haifuti historia yake na umuhimu wake kwenye maisha yako, Kuna mambo mengi sana binadamu tunafanya kama maigizo.
However kupewa heshima na kanisa si jambo baya ni kiashiria kizuri kuwa ulikuwa mtu wa imani sio mpagani, hilo sipingi.
Sawa. Kuna swali niliuliza, Kifo cha YESU kilikuwa cha heshima kwa jamii au cha aibu? Kifo chake kimeathiri vipi heshima yake kwako na kwanini?Usilolitambua ni kwamba Kanisa ni sehemu ya jamii.Wewe mtu mmoja uliyesaidiwa figo pia ni sehemu ya jamii na huenda ukawa muumini pia.Matendo yako na maisha yako kiujumla yanapaswa kufuata na kuiishi misingi ya imani katoliki.Kutoa msaada pekee haiwezi kuwa kigezo cha kuwa mfano katika jamii pasipo na kielelezo cha kuishi maisha ya matendo mema na ya mfano kwa jamii.Unaweza kuwa jambazi lakini unatoa misaada.Unaweza kutoa figo lakini ni muuaji au mzinzi.Ndio maana kanisa likaweka vipimo vyake au miongozo ya kuishi imani ya Kristu ambayo ni kama hayo yaliyoelezwa,Kuhudhuria misa takatifu,kuhudhuria jumuiya,kushiriki ekaristi takatifu,Sakramenti ya kitubio,kutembelea wagonjwa n.k
Mmmh tunaanza kuhukumu ...the..bible says " usihukumu usije ukahukumiwa" ...... ..... Hauwezi ukajua kila muumini ana imani gani ndani yake hata kama anahudhuria kanisani _____ wengine ni sawa na vichwa vilivyo baki tu Ila kiwiliwili kwa Shetani .....
NB.. Usihukumu usije ukahukumiwa ..... Biblia imetuwekea mitego mingi ndg zangu ..
Mkuu naona umeanza kuchanganya files.Kifo cha Yesu ni kusudio maalum kwa mwana wa Mungu.Hapa tunazungumzia kifo kwa muumini au asiye muumini.Ila ukitaka tuzungumzie hilo pia sawa.Kwanza Yesu alizikwa kiheshima mno.Tunaelezwa jinsi matajiri walivyoleta manemane ya thamani na kumwaga juu ya kaburi lake.Sasa sijajua hapo amehusikaje,Ila Yesu alikufa vile ili Leo sisi tuishi vyema na tuzikwe kwa heshima zote na kanisa na jamii kiujumla!YESU alikufa kifo cha heshima kwa binadamu au cha aibu? Aina yake ya kifo imeathiri vipi heshima yako kwake na kwann?
Bilionea alivyofariki hapakuwa na matajiri waliofika kwenye mazishi yake? Kifo chake hakikuwa mpango wa MUNGU?Mkuu naona umeanza kuchanganya files.Kifo cha Yesu ni kusudio maalum kwa mwana wa Mungu.Hapa tunazungumzia kifo kwa muumini au asiye muumini.Ila ukitaka tuzungumzie hilo pia sawa.Kwanza Yesu alizikwa kiheshima mno.Tunaelezwa jinsi matajiri walivyoleta manemane ya thamani na kumwaga juu ya kaburi lake.Sasa sijajua hapo amehusikaje,Ila Yesu alikufa vile ili Leo sisi tuishi vyema na tuzikwe kwa heshima zote na kanisa na jamii kiujumla!
Hata mimi nilikua nasoma huku nikiwaza jibu kama lako.Ukiona hivyo ujuwe alikuwa hatoi michango mikubwa kwenye kanisa, dini imekuwa biashara siku hizi
Nadhani nimekujibu hapo juu.Alafu hauwezi kuwa mwema na mwenye heshima kwa jamii alafu kanisa lisikuone! Hakuna hicho kitu! Kama muumini wa kawaida kabisa masikini asiyejulikana anazikwa kwa heshima na kanisa wewe ni nani usionekane! Usilolijua ni kwamba unapokuwa muumini mwema wa kawaida kabisa kanisa linakutazama! Huwezi kwenda kupokea ekaristi takatifu ukiwa na dhambi! Lazima ukatubu kwanza.Na usiposhiriki ekaristi takatifu ni dhambi! Sasa niambie hapo unawezaje kuwa nusu nusu!Sawa. Kuna swali niliuliza, Kifo cha YESU kilikuwa cha heshima kwa jamii au cha aibu? Kifo chake kimeathiri vipi heshima yake kwako na kwanini?
Mipango ya kanisa ya kutunuku heshima ina maana pale tu mtu anapokuwa na heshima kweli, ila kama ana heshima na kanisa halikuiona hiyo heshima hayo ni maigizo.
Wanaosema umetenda dhambi ni hao hao binadamu ambao walimuua pia MUNGU. Hao hao pia wanafanya makosa ya hapa na pale. Ni kwann sheria za kanisa huwa zinafika mahala zinabadilishwa? Usiwe mfia viongozi mkuu. Anayetoa taarifa za huyu hafai ni binadamu lolote linaweza kitokea kukawa na taarifa zinazopingana na namna MUNGU anavyomjaj mhusika.Nadhani nimekujibu hapo juu.Alafu hauwezi kuwa mwema na mwenye heshima kwa jamii alafu kanisa lisikuone! Hakuna hicho kitu! Kama muumini wa kawaida kabisa masikini asiyejulikana anazikwa kwa heshima na kanisa wewe ni nani usionekane! Usilolijua ni kwamba unapokuwa muumini mwema wa kawaida kabisa kanisa linakutazama! Huwezi kwenda kupokea ekaristi takatifu ukiwa na dhambi! Lazima ukatubu kwanza.Na usiposhiriki ekaristi takatifu ni dhambi! Sasa niambie hapo unawezaje kuwa nusu nusu!
Mkuu kanisa halikuamua kumzika kwa heshima ya kikanisa! Shida iko wapi? Sawa amezikwa na mabilionea nayo ni heshima yake kwa upande mwingine! Lakini kanisa kama kanisa limeamua kutomzika kwa heshima! Kifo ni mpango wa Mungu sawa lakini haibadilishi utaratibu ndani ya kanisa.Alafu usifananishe kabisa na kifo cha Yesu kwakuwa Yesu ndiye mwanzilishi wa kanisa na alizikwa kwa heshima zote na laiti kama kanisa la sasa lingekuwepo wakati huo basi angezikwa kwa heshima zote za kanisa.Viongozi wa kanisa lazima waheshimiwe kwa kuwa wanaongoza kanisa pekee la Kristu.Bilionea alivyofariki hapakuwa na matajiri waliofika kwenye mazishi yake? Kifo chake hakikuwa mpango wa MUNGU?
WW NI MFIA VIONGOZI, SI KILA WAKATI VIONGOZI WANAONGOZWA NA ROHO KUFANYA MAAMUZI YA KANISA. NDIO MAANA KUNA NYAKATI KANISA LINABADILI AU KUFUTA SHERIA.
Upo sahihi. Viongozi waheshimiwe ila nao ni binadamu.Mkuu kanisa halikuamua kumzika kwa heshima ya kikanisa! Shida iko wapi? Sawa amezikwa na mabilionea nayo ni heshima yake kwa upande mwingine! Lakini kanisa kama kanisa limeamua kutomzika kwa heshima! Kifo ni mpango wa Mungu sawa lakini haibadilishi utaratibu ndani ya kanisa.Alafu usifananishe kabisa na kifo cha Yesu kwakuwa Yesu ndiye mwanzilishi wa kanisa na alizikwa kwa heshima zote na laiti kama kanisa la sasa lingekuwepo wakati huo basi angezikwa kwa heshima zote za kanisa.Viongozi wa kanisa lazima waheshimiwe kwa kuwa wanaongoza kanisa pekee la Kristu.
Hapana Mkuu, Kuishi bila ndoa, kutokupewa kipaimara hadi unaingia kaburini ni moja ya uhaini ktk hili dhehebu achilia mbali kuzaliwa mkatoliki. Huku hakunaga ile ya kwamba usipoingia umesimama utaingia umelala, Huku ni kwamba usipoingia ukiwa umesimama basi hata ukiwa umelala huingii.. Tusali jamani hatujui saa yetu lini
Hatuwi wafia viongozi mkuu! Bali tunaongozwa na kanisa sio viongozi.Hao viongozi wamewekwa wakfu na kanisa kuongoza kanisa.Wanaosema umetenda dhambi ni hao hao binadamu ambao walimuua pia MUNGU. Hao hao pia wanafanya makosa ya hapa na pale. Ni kwann sheria za kanisa huwa zinafika mahala zinabadilishwa? Usiwe mfia viongozi mkuu. Anayetoa taarifa za huyu hafai ni binadamu lolote linaweza kitokea kukawa na taarifa zinazopingana na namna MUNGU anavyomjaj mhusika.
Ushasema kijana ambaye hajaoa unataka nini sasa? Wangapi vijana ambao hawajaoa na wamezikwa kikatoliki?
Hujui ni kosa kuingia kwenye ndoa kabla ya Ubatizo na Kipaimara?
Jumuiya ni ni sehemu ya kuwaweka watu sehemu moja kwenye vigango vyao. Na michango ni ya kawaida sana si kama unavyotaka kuaminisha. Ukweli ukiutenga ukatoliki usilalamike hapo mbeleni.
Binafsi nilisumbuka sana kubatiza mtoto kwasababu sikuwa na Jumuiya, ilinibidi nitoke Dar mpaka Bukoba ambako wazazi wapo na hiyo Jumuiya najulikana ndio nikafanikiwa kubatiza.
Ni poa tu, ndoa hajafunga, kipaimara hajapata, jumuiya haendi, kanisani haendi. Alijitoa mwenyewe kwenye ukatoliki.
Tunalinga MkuuHapo ndo huwa nalipendea dhehebu langu katoliki.
Na mimi jumuia huwa sitii mguu sijui itakuaje ila wife na machalii wangu huwa wanashiriki
Ukristo ni pale unapo batizwa. Hizi sakramenti nyingine zinaumuhimu kadiri ya hatua.Ni poa tu, ndoa hajafunga, kipaimara hajapata, jumuiya haendi, kanisani haendi. Alijitoa mwenyewe kwenye ukatoliki.
Aise nikiona comment kama hizi za watu msiojua lolote kuhusu kanisa halafu mnajikuta wajuaji nasikitika sana.Unaanzaje kusema ndoa ni issue personal? Kama hujui kanisa lina Sakramenti sabandoa yake na dini yenu vina uhusiano gani?ishu ya ndoa ni ishu personal na kuzika ni ibada ya wote inakuwaje mnachanganya hivi vitu viwili?
Kama alifanya dhambi ya kutooa kisheria yeye si ndio atahukumiwa na Mungu nyinyi mnapata hasara gani?