Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

sawa hata kama kuna vitu hivyo,swali langu ni je nyinyi mlipewa mamlaka na Mungu ya kumhukumu mtu hapa duniani?mnapokataa kumzika mnategemea nini?kwa hiyo asizikwe aachwe tu au atupwe kama mzoga?
Aise nikiona comment kama hizi za watu msiojua lolote kuhusu kanisa halafu mnajikuta wajuaji nasikitika sana.Unaanzaje kusema ndoa ni issue personal? Kama hujui kanisa lina Sakramenti saba
Nazo ni:
1. Ubatizo
2. Ekaristi Takatifu
3. Kipaimara
4. Mpako Mtakatifu
5. Kitubio
6. Daraja Takatifu
7. Ndoa

Sakrament ya ndoa ni moja ya Sakramenti takatifu ya kanisa.kama hautapitia sakarament ya Daraja takatifu kama Upadre basi utaitwa katika Sakramenti ya Ndoa baada ya kupitia Sakramenti zinginezo.
 
sawa hata kama kuna vitu hivyo,swali langu ni je nyinyi mlipewa mamlaka na Mungu ya kumhukumu mtu hapa duniani?mnapokataa kumzika mnategemea nini?kwa hiyo asizikwe aachwe tu au atupwe kama mzoga?
Majibu ya maswali yako:
Je,nyinyi mlipewa mamlaka na Mungu ya kumhukumu mtu hapa duniani? Jibu ni NDIYO

Mnapokataa kumzika mnategemea nini?
Jibu: Si lazima azikiwe kwa heshima ya kanisa.Anaweza kuzikwa kwa namna nyingine tu ya heshima.
 
Ukristo ni pale unapo batizwa. Hizi sakramenti nyingine zinaumuhimu kadiri ya hatua.

Nashangaa sana wanaowahukumu kwa hizo nyingine..maana hajaukana ubatizo wake.

Makaasisi wawe wanatimiza wajibu wao kwa wakristo wa namna hii..lakini pia waendelee kuwatia moyo wenginr kukamilisha hzo sajramenti nyingine.
Kubatizwa tu bila kuiishi ukristo ni bure! Ndio maana lazima mtu aendelee na mafundisho na kuendelea kuiishi imani katoliki
 
1.Ni lini Mungu alifanya discussion na wewe/nyingi akakwambia umsaidie kutoa hukumu?
2.Kuzikwa kwa njia nyingine ya heshima ni ni kama ipi?Na kama unaamini kuna njia nyingine ya kuzika kwa heshima basi kumbe dini yako haina umuhimu wa kuwepo
Majibu ya maswali yako:
Je,nyinyi mlipewa mamlaka na Mungu ya kumhukumu mtu hapa duniani? Jibu ni NDIYO

Mnapokataa kumzika mnategemea nini?
Jibu: Si lazima azikiwe kwa heshima ya kanisa.Anaweza kuzikwa kwa namna nyingine tu ya heshima.
 
Sasa kama alifanya kosa la kipaimara si umuachie Mungu wenu atamhukumu huko alikoenda kwa nini mnamhukumu nyinyi ni kama nani mbele za Mungu?
Hajahukumiwa.Na hata kama angehukumiwa Kanisa lina mamlaka hayo limeachiwa na Mungu.Lakini kanisa halijahukumu.Muhusika alijitenga na kanisa hivyo kanisa nalo baada ya juhudi za kumrudisha kushindwa nalo likamtenga hivyo haliwezi kufanya unafiki kwa kumzika baada ya kufa
 
1.Ni lini Mungu alifanya discussion na wewe/nyingi akakwambia umsaidie kutoa hukumu?
2.Kuzikwa kwa njia nyingine ya heshima ni ni kama ipi?Na kama unaamini kuna njia nyingine ya kuzika kwa heshima basi kumbe dini yako haina umuhimu wa kuwepo
Majibu ya maswali yako;
1: Mungu alifanya discussion na Kanisa pale Galilaya

Math 5:28
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

2:Kuzikwa kwa njia nyingine za heshima ni kama ; kuzikwa kijeshi, kuzikwa kiserikali au kuzikwa na madhehebu mengineyo.Ila kama muumini mkamilifu namna iliyobora zaidi ni kuzikwa na kanisa.Machaguo yote yanabaki kwako.
 
Yaan hapo hata haumkomoi aliyekufa... baki nae ndani akunukie, utamzika tu kwa taratibu zozote.
 
Majibu ya maswali yako;
1: Mungu alifanya discussion na Kanisa pale Galilaya

Math 5:28
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

2:Kuzikwa kwa njia nyingine za heshima ni kama ; kuzikwa kijeshi, kuzikwa kiserikali au kuzikwa na madhehebu mengineyo.Ila kama muumini mkamilifu namna iliyobora zaidi ni kuzikwa na kanisa.Machaguo yote yanabaki kwako.
Katika maelezo yako Sijaona mahali Mungu aliposema "ewe Stephen nakupa mamlaka ya kuhukumu binadamu wenzako badala yangu"
 
Ukiona hivyo ujuwe alikuwa hatoi michango mikubwa kwenye kanisa, dini imekuwa biashara siku hizi
Siyo kweli. Ningekuwa 'active priest' ningemzika kama ningeombwa kufanya hivyo. Ila ni kweli Kanisa Katoliki liko 'restrict' kwa wasioshiriki maisha ya kawaida ya kanisa (kusali pamoja na waumini wengine na kushiriki kulijenga kanisa kwa hali na mali au kwa namna ambayo inawezekana kulingana na hali ya maisha ya muumini mwenyewe). Si lazima utoe michango kama huna 'means', lakini pia si vizuri kutosaidia kanisa kama mtu ana 'means'.
 
siwezi kujibu kwa sababu mfano wako hauendani kabisa.
Labda ungeniuliza malaika wanatumwa na nani kuhukumu ningekujibu.
Nimekuuliza nikiwa na maana yangu ili niweze kukuelekeza upate kuelewa ila kwakuwa umetaka nikuulize swali jingine sawa nijibu hao malaika wanatumwa na nani kuhukumu?
 
Siyo kweli. Ningekuwa 'active priest' ningemzika kama ningeombwa kufanya hivyo. Ila ni kweli Kanisa Katoliki liko 'restrict' kwa wasioshiriki maisha ya kawaida ya kanisa (kusali pamoja na waumini wengine na kushiriki kulijenga kanisa kwa hali na mali au kwa namna ambayo inawezekana kulingana na hali ya maisha ya muumini mwenyewe). Si lazima utoe michango kama huna 'means', lakini pia si vizuri kutosaidia kanisa kama mtu ana 'means'.
Kweli kabisa.Wengi hawaelewi hili ama kwa kufahamu au kutofahamu wanachanganya kanisa katoliki na madhehebu mengineyo
 
Umenitoa machozi aisee. Mwaka 2014 nilipata msiba wa Mke wa Mjomba wangu. Uncle wangu alikuwa msharika halisi wa katoliki nakumbuka alikuwa anasali jumuiya ya Mtakatifu Antoni wa Padua. Lakini ugumu wa maisha alisafiri na kwenda Afrika ya Kusini na kurudi mwanzoni wa Mwaka wa 2012 akiwa na pesa nyingi. Alisimamia michango ya jumuiya kipindi wanajenga kanisa yaani kila jumuiya ilipewa nguzo ya kusimamisha. Masikini Anko alitoa hela yote ya mchango wa Jumuiya mpaka sementi na vifaa vingine vya ujenzi.
Mke wake alianza kuumwa Mwaka 2013 alipelekwa Sekou Toure kisha Bugando lakini ilishindikana na kupelekwa Muhimbili. Masikini yule Mama alikuwa mkarimu sana lakini alikuwa ni Msharika wa Orthodox. Bahati mbaya alifariki kutokana na maradhi ya Ini.
Kimbembe na shughuli ya kuzika hawa jamaa Roman Catholic walimkataa Kabsa yaani kavu kavu. Nakumbuka kuna mzee mmoja hivi alikuwa ni Pentecost aliamua kufanya shughuli ile kwa roho njema Kabsa.
Cha ajabu kwenye maziko eti na Washarika wa Anko walikuwepo mpaka Masista duuh Dini hizi nyie
Kwann Orthodox hawakushiriki?

Waumini watakuja kama jamii lkn huduma za kiroho haiwezi kutolewa
 
michango sio lazima, ukiwa muumini wa kawaida hata kama ulikua hutoi michango unazikwa tu...
Na huwezi kuwa muumini wa Katoriki bila ya kutoa michango, husipotoa pia unaonekana unafanya makusudi na unatengwa... Hizi dini ni biashara kabisa
 
Back
Top Bottom