Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

Mmmh tunaanza kuhukumu ...the..bible says " usihukumu usije ukahukumiwa" ...... ..... Hauwezi ukajua kila muumini ana imani gani ndani yake hata kama anahudhuria kanisani _____ wengine ni sawa na vichwa vilivyo baki tu Ila kiwiliwili kwa Shetani .....

NB.. Usihukumu usije ukahukumiwa ..... Biblia imetuwekea mitego mingi ndg zangu ..
Kanisa limepewa mamlaka ya kuhukumu
 
Aliyezikwa na kanisa na aliyeliwa na wanyama wakali wote marehemu na sidhani kama umarehemu wao una tofauti. Hata paroko naye atakapokufa umarehemu ni ule ule. Mambo ya hukumu ni ya MUNGU. Mwizi msalabani sidhani kama alikuwa analijua kanisa.
 
Ni kweli umachosema ila kuzikwa na kanisa ni heshima tu anayopatiwa marehemu kwa jamii na ndugu wanaomzunguka.Mwizi alipokuwa msalabani hapakuwa na kanisa bado.Kanisa limekuja baada ya Yesu.
 
Ni kweli umachosema ila kuzikwa na kanisa ni heshima tu anayopatiwa marehemu kwa jamii na ndugu wanaomzunguka.Mwizi alipokuwa msalabani hapakuwa na kanisa bado.Kanisa limekuja baada ya Yesu.
Mwizi msalabani ni ishara kwamba hata dakika ya mwisho kabisa inatosha kureconcile na MUNGU wako. Heshima kwa jamii haifutiki kwa sababu paroko ameamua. Jamii itakuheshimu kwa uliyoyatenda, misaada uliyotoa n.k. utabaki mioyoni mwa watu hata kama ulifariki kwa kuliwa na wanyama na hawakuacha hata mfupa.
 
Mungu mwenyewe amelipa kanisa mamlaka ya kuhukumu sasa wewe jifanye kuhoji kanisa
Kanisa lina hukumu mtu! sawa tuchukulie wametoa hukumu je Mungu akifuta hiyo hukumu na kuwa batili bado utasema kanisa alihojiwi? MUNGU pekee ndo anatoa hukumu
 
Ni kweli umachosema ila kuzikwa na kanisa ni heshima tu anayopatiwa marehemu kwa jamii na ndugu wanaomzunguka.Mwizi alipokuwa msalabani hapakuwa na kanisa bado.Kanisa limekuja baada ya Yesu.
Nikizikwa na kanisa hiyo heshima naipeleka wapi? Inanisaidia nini? kama naenda motoni itanipeleka mbinguni? Na ambao hawazikwi na kanisa hawana heshima?
 
Mwizi msalabani ni ishara kwamba hata dakika ya mwisho kabisa inatosha kureconcile na MUNGU wako. Heshima kwa jamii haifutiki kwa sababu paroko ameamua. Jamii itakuheshimu kwa uliyoyatenda, misaada uliyotoa n.k. utabaki mioyoni mwa watu hata kama ulifariki kwa kuliwa na wanyama na hawakuacha hata mfupa.
Hiyo jamii unayoizungumzia ndiyo waumini wa kanisa lenyewe.Kanisa ni sehemu ya maisha ya jamii hususan kanisa katoliki.Hivyo kiongozi wa kanisa ni kama kiongozi wa jamii.Sidhani kama mizinga ya jeshi rais anapoapishwa au anapozikwa askari ina umuhimu wowote juu ya muhusika kwakuwa haibadilishi chochote ila ni ishara ya heshima tu na kuwakumbusha wengine kuishi maisha ya kutenda wema kwa watu wote.
 
Kwani hata wasipo mzika si ataoza tu au anaweza kufufuka
Sidhani kama mizinga ya jeshi rais anapoapishwa au anapozikwa askari ina umuhimu wowote juu ya muhusika kwakuwa haibadilishi chochote ila ni ishara ya heshima tu na kuwakumbusha wengine kuishi maisha ya kutenda wema kwa watu wote.Sidhani kama ukifa utapenda mwili wako utupwe tu msituni.
 
Kanisa lina hukumu mtu! sawa tuchukulie wametoa hukumu je Mungu akifuta hiyo hukumu na kuwa batili bado utasema kanisa alihojiwi? MUNGU pekee ndo anatoa hukumu
Kanisa halitoi hukumu peke yake Bali kwa uongozi wa roho mtakatifu.Kwa maana nyingine hukumu ya kanisa ni hukumu ya Mungu kwa kuwa yeye ndiye aliyeruhusu kanisa kufunga na kufungua mlango wa uzima wa Milele.Usitenganishe Kanisa na Mungu! Mungu akifuta basi ni yeye ndiye amebadilisha maamuzi yake ya awali kwa kuwa hukumu zote zinatoka Kwake kupitia kanisa.
 
Nikizikwa na kanisa hiyo heshima naipeleka wapi? Inanisaidia nini? kama naenda motoni itanipeleka mbinguni? Na ambao hawazikwi na kanisa hawana heshima?
Sidhani kama mizinga ya jeshi rais anapoapishwa au anapozikwa askari ina umuhimu wowote juu ya muhusika kwakuwa haibadilishi chochote ila ni ishara ya heshima tu na kuwakumbusha wengine kuishi maisha ya kutenda wema kwa watu wote.Narudia kusistiza kuwa sidhani kama ungependa mwili wako au wa ndugu yako utupwe tu msituni.Kumbuka hata wana wa Israeli walihifadhi mifupa ya mababu zao na kuitunza kila walipokwenda.
 
Sidhani kama mizinga ya jeshi rais anapoapishwa au anapozikwa askari ina umuhimu wowote juu ya muhusika kwakuwa haibadilishi chochote ila ni ishara ya heshima tu na kuwakumbusha wengine kuishi maisha ya kutenda wema kwa watu wote.Sidhani kama ukifa utapenda mwili wako utupwe tu msituni.
YESU alikufa kifo cha heshima kwa binadamu au cha aibu? Aina yake ya kifo imeathiri vipi heshima yako kwake na kwann?
 
Makanisa ya zamani yaliyotokana na kuhasi. Sheria ni kama za wakatoliki. Sii kama walokole.
 
Ukiona hivyo ujuwe alikuwa hatoi michango mikubwa kwenye kanisa, dini imekuwa biashara siku hizi
Mimi sio Mkatoriki but naona kama umetengeneza assumption mwenyewe na ukaitolea jibu hiyo assumptions na ukafanya na judgment kabisa bila kujisumbua kutafuta proves yake! Sorry kwa kuchangia UZI wa miaka 4 iliopita
 
Back
Top Bottom