Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,178
- 37,475
Heshima sana wanajamvi,
Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025. Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million
WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha, kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.
Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.