VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Serikalii inatuhumiwa kuhatarisha maisha ya raia baada ya kusitisha huduma za kibenki na za usafiri wa anga, katika maeneo yanayoongozwa na AFC/M23.
Askofu Donatien Nshole, amesema nguvu serikali inazoelekeza kwenye vita kupambana na raia wake, hakuna zilicholeta,bali zilichangia kuteseka kwa raia wa nchi hiyo