Kanikuta nanunua boksa ya mtumba

Kanikuta nanunua boksa ya mtumba

Ha ha ha usithubutu kukutwa na bwana pepsi asa utafanyaje na hujazoea vya botique.. Kajaribu utapazoea tu

Tatizo wezi pale. Mshahara wenyewe wa huyu muhindi hautoshi alafu nikariski huko.
 
Ni umasikini baba...si unaona kila siku wanaongeza bei ya bia.....nasevu ili ninywe bia.

Pole!

Nahisi labda nipo nje ya mguso na maisha ya baadhi ya watu (ingawa sidhani kama undergarments mpya ni bei ghali kihivyo).
 
Pole!

Nahisi labda nipo nje ya mguso na maisha ya baadhi ya watu (ingawa sidhani kama undergarments mpya ni bei ghali kihivyo).

Usijali Nyani :smiling:, nafikiri ni tabia tu......ndio maana kuna watu wengine bila kwenda kunywa sinza hawalewi....hata kama ni saa nane usiku katokea sehemu nyingine lazima apitie sinza anywe angalau moja...nimetoa mfano huo kwa sababu mi ni mnywaji.
 
Jamani nguo mitumba hadi boxer aisee? Huwa nawashangaa sana hata madada wanaununua shumizi, sidiria na tight za mitumba
 
Back
Top Bottom