miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Afu wewe miss chagga nkikushika
Utaninunulia pichu ya mtumba
Last edited by a moderator:
Afu wewe miss chagga nkikushika
Tatizo mnajifanya matawi sana...sasa huyu bidada nnavyomjua lazima ataenda kuntangaza..."mwaname mwenyewe anavaa boksa za mtumba nimpeleke wapi?"
Mi navaaga makanyelamomo utaninunulia ha ha haaaHaya bwana...
hahaha mkuu [MENTION]Tyta [/MENTION] naona umechuchumaa kabisa
Yale soo.....lazima ulitoboe sehemu ya papuchi.
Nilipomuona mdada anakuja kwa mbali huku akinengua,basi mimi nikamrushia muuza mitumba boksa yake na kuanza kutembea huku nazuga ili mdada asinishtukie.......Huju jamaa muuza mitumba si akaanza kunikimbilia huku kaishika ile boksa juu....eti, "sema kaka una shilingi ngapi" Najifanya kama sio mimi vile mara akanipita akasimama mbele yangu, "Haya nipe basi hiyo buku mbili" bint huyu hapa kashafika, alichokifanya ni kunitabasamia tu.
He!? hewa tena..mi naongelea sehemu ya kupitishia dushe.