Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Hujui kuvaa ndiyo nini?
hata sielewi hujui kuvaa nini?
kuvaa Condom...
kuvaa suti..
kuvaa msuli..
kuvaa saa
kuvaa viatu
kuvaa..pete
kuvaa ...........
Tupia picha tukujadili. Vinginevyo hakuna thread apa.
Nimeamua kuanzisha uhusiano wa kimataifa na kasamsingi kamoja. Tabu kanalalamika sijui kuvaa na mimi nimejitahidi kuvunja katiba lakini wapi. Hivi ndivyo inavyokuwa au?...😛ound::angry::A S 20:
Picha tena?
Katiba ipi tena mkuu?
sasa kama sijui nisiulize? mwambie akuvalishe basi.You got brains kid!.....tuchambue neno kuvaa.....tunavaaga nini katika mahusiano?
mpaka nitakapojua hujui kuvaa nini ndo ntaweza kuchangia, for the time being :shut-mouth:
Hebu tueleze wakati anakueleza hayo mlikuwa mmejiandaa kwenda wapi labda? church? disco? Msibani? etc