Naona ni fasheni mpya sasa vitasa kwa kwenda mbele
1.Wassira-(wahasira)
2.Ndugai-(ndugu why/ndugu ai wewe)
3.kangi lugola-(kaanga ugolo)
4.Mimi
5.....?
Una maanisha kuwa wanazingatia vizuri maelekezo yake!!! kwi kwi kwi!! nani kawafundisha ndondi?hakuna namna sasa
Una maanisha kuwa wanazingatia vizuri maelekezo yake!!! kwi kwi kwi!! nani kawafundisha ndondi?
hivi hawa hawafunguliani kesi? maana mbowe kibao tuu ilikuwa ni shida
Ni mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.
Mwaka huu tutaona mengi!
aaaahhhh!!!!!! heri mimi sijasema, ila wewe umesema tena umetaja mpaka jinaPinda wapigwe tu
Hii nchi ngumu sanaNi mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.
Mwaka huu tutaona mengi!
Bila ushahidi tutaaminije?
Leo ndio ninyi wakosoaji wake wakubwa!Tunamkaribisha ukawa
Fake News ni nyingi sana siku hizi...lazima ujiridhishe...ukizingatia 'mleta mada ni wa viwango vya 7G' (joke) kuleta habari.Tomaso