Elections 2015 Kangi Lugola atwanga mtu ngumi

Ni mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.

Mwaka huu tutaona mengi!

Mi nasema na wapigwe tu maana hamana namna sasa!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom