Kangi Lugola akataa mabadiliko feki

Kangi Lugola akataa mabadiliko feki

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Hii ni taarifa mbaya kwa UKAWA waliodanganywa kuwa ujio wa lowassa ndani ya UKAWA ulifanyiwa utafiti na kuonesha kuwa atakuja na wanaccm wengi.

Kada machachari wa ccm ndugu Kangi lugola amesema alitanguliza mizigo kwenye basi la mabadiliko lakini ameshtuka kuw basi hilo ni bovu hivyo ameamua kulitosa.
 
kwa hiyo ameona ni vizuri kupeleka Pombe Ikulu, huu ni hujinga kama Kikwete ameshindwa na alikuwa hana kashfa yoyote atawezaje Pombe? tatizo letu sio mtu tatizo letu ni ccm ndio maana wenye busara wameamua kuhama baada ya kuona ndani ya ccm haiwezekani hata kama ukiwa malaika
 
Kangi hana ushawishi kabisa,kura yake ni moja tu tofauti na Lowassa
 
Hii ni taarifa mbaya kwa UKAWA waliodanganywa kuwa ujio wa lowassa ndani ya UKAWA ulifanyiwa utafiti na kuonesha kuwa atakuja na wanaccm wengi.

Kada machachari wa ccm ndugu Kangi lugola amesema alitanguliza mizigo kwenye basi la mabadiliko lakini ameshtuka kuw basi hilo ni bovu hivyo ameamua kulitosa.

Yeye ni nani? Kuingia na viroba kwenye bunge ndo kajiona wa maana? Hata yeye ni mchumia tumbo tu, anaweza labda makufuri akishinda anaweza mpa uwaziri! Shame on him!
 
Hii ni taarifa mbaya kwa UKAWA waliodanganywa kuwa ujio wa lowassa ndabani ya UKAWA ulifanyiwa utafiti na kuonesha kuwa atakuja na wanaccm wengi.

Kada machachari wa ccm ndugu Kangi lugola amesema alitanguliza mizigo kwenye basi la mabadiliko lakini ameshtuka kuw basi hilo ni bovu hivyo ameamua kulitosa.

Nitaamini ni hadaa baada ya baraza la mawaziri kuvunjwa...jiulize ni kwanini jk anasifa vunja baraza la mawaziri?!!!
Alivunje uone Mafuriko yake
 
kwa hiyo ameona ni vizuri kupeleka Pombe Ikulu, huu ni hujinga kama Kikwete ameshindwa na alikuwa hana kashfa yoyote atawezaje Pombe? tatizo letu sio mtu tatizo letu ni ccm ndio maana wenye busara wameamua kuhama baada ya kuona ndani ya ccm haiwezekani hata kama ukiwa malaika

Magufuli ana kashfa gani? ukiniambia ya kuuzwa nyumba za serikali umtaje na waziri mkuu wake alikuwa nani na amechukua mgao wa nyumba ngapi! Lowasa na Sumaye ni wanufaika wakubwa wa nyumba za serikali.
 
Yeye ni nani? Kuingia na viroba kwenye bunge ndo kajiona wa maana? Hata yeye ni mchumia tumbo tu, anaweza labda makufuri akishinda anaweza mpa uwaziri! Shame on him!
Naona hii safari itabaki na mafisadi wawili tu na wafanyabiashara wa Chagadema.
 
Nitaamini ni hadaa baada ya baraza la mawaziri kuvunjwa...jiulize ni kwanini jk anasifa vunja baraza la mawaziri?!!!
Alivunje uone Mafuriko yake
Mbona Makongoro Mahanga alitoka?
Hata Chadema walipigwa kamba hizo hizo za subiri subiri..!
 
Umeona wapi sisimizi (Lugora) akamzua tembo (Ukawa /Lowassa) njia? UKAWA ni MABADILIKO na MABADILIKO ni UKAWA kwisha!
 
Siasa ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Ningemshangaa sana Lugola angeenda kwenye biashara ambayo haitamlipa
 
Hii ni taarifa mbaya kwa UKAWA waliodanganywa kuwa ujio wa lowassa ndani ya UKAWA ulifanyiwa utafiti na kuonesha kuwa atakuja na wanaccm wengi.

Kada machachari wa ccm ndugu Kangi lugola amesema alitanguliza mizigo kwenye basi la mabadiliko lakini ameshtuka kuw basi hilo ni bovu hivyo ameamua kulitosa.

Hatuna tatizo na Kangi hata akibaki ccm
 
Kwa taarifa yako, wako wengi sana ambao mchana ni timu JPM, usiku ni timu ENY. Hata mgombea wenu analijua hilo..
 
Huyo Lugola hana lolote, ni mchumia tumbo tu kama akina Ole sendeka etc. Kiama Chao kimefika oktoba 25 watakapokuwa wanakaa ule upande wa upinzani.
 
Hii ni taarifa mbaya kwa UKAWA waliodanganywa kuwa ujio wa lowassa ndani ya UKAWA ulifanyiwa utafiti na kuonesha kuwa atakuja na wanaccm wengi.

Kada machachari wa ccm ndugu Kangi lugola amesema alitanguliza mizigo kwenye basi la mabadiliko lakini ameshtuka kuw basi hilo ni bovu hivyo ameamua kulitosa.
Huyo unayemwita machachari siku akihama utasema ni fisadi. Maccm mwaka huu tena!? Hapana sema hapana kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Tumewavumilia sana kwa madudu yao miaka yote, sasa tuseme basiiiiii. Chagua Ukawa chagua Lowassa.
 
Back
Top Bottom