Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,554
Hii ni taarifa mbaya kwa UKAWA waliodanganywa kuwa ujio wa lowassa ndani ya UKAWA ulifanyiwa utafiti na kuonesha kuwa atakuja na wanaccm wengi.
Kada machachari wa ccm ndugu Kangi lugola amesema alitanguliza mizigo kwenye basi la mabadiliko lakini ameshtuka kuw basi hilo ni bovu hivyo ameamua kulitosa.
ndo nani huyu kangi lugola, sijawahi msikia