Ellyson
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 1,714
- 405
Hata angetoka Maccm yangemwita ni kapi na fisadi. Kushabikia ccm kunahitaji akili za kizombie na kishetaniLeo Lugola hana ushawishi. Ageingia Ukawa angeitwa kamanda. Ushabiki kitu kwingine ni mbaya sana.