mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,168
- 8,937
Huyu Kangi aliposema Lowassa asipochaguliwa ,patachimbika pale Sheikh Amri Abeid siku Lowassa alipotangaza safari hewa ya matumaini alishangiliwa na kuonekana shujaa,leo kabadili gear angani mnasema Kangi hana ushawishi,kweli malofa mko katika ubora wenu.Kangi hana ushawishi kabisa,kura yake ni moja tu tofauti na Lowassa