halafu hawa wabunge ndio waendaji wakubwa kwenye hizi shughuli kwanai hatukutanagi nao huko? tena wengine unafikiri ni wazee lakn ukweli ni kwamba na uzee wao ndo wanawapenda na hata majumba wamewajengea basi tu ningekuwa nshapata viroba vyangu nngewataja wa3 kwa majina yao kamamfano kisha mtu ujiulize na umri huo huko alifwata nnunajua wabunge wetu unafiki ni part ya maisha yao, wakati wao wenyewe ndio wateja
halafu hawa wabunge ndio waendaji wakubwa kwenye hizi shughuli kwanai hatukutanagi nao huko? tena wengine unafikiri ni wazee lakn ukweli ni kwamba na uzee wao ndo wanawapenda na hata majumba wamewajengea basi tu ningekuwa nshapata viroba vyangu nngewataja wa3 kwa majina yao kamamfano kisha mtu ujiulize na umri huo huko alifwata nn
uwiiiiiiiii nimewahi ona hiyo kitu kanga moko! ni balaa, mama lwakatare atakuwa na wasiwasi kuhusu kiserengeti boy alichokipata kitakamatwa na mimama! lol! shame on u wabunge!
NSSF wachukue, na kanga moko wachukue???
mzima nipo! kuna limtu limeniboa, limbeyaaaaaaaaa! natamani kulitupia mabwepande, au kulipeleka nungwi liliwe na papa! mschewwwwww! mambo yako lakini?shostito mzima? kumbe umekumbuka siku ilee eeh! yaani watu wawanyime wenzao utamu alahh! sijui lini tena twendae mamiito! nakumisije sasa?
mzima nipo! kuna limtu limeniboa, limbeyaaaaaaaaa! natamani kulitupia mabwepande, au kulipeleka nungwi liliwe na papa! mschewwwwww! mambo yako lakini?
wallah twende, kwanza leo cjui kama nitamaliza muda wa mwajiri hapa, ninaburst anytym kwa hasira, nways twenzetu pm!watu kama hao ni wa kuwanywea nyagi halo halo kisha unalala tu manake kuna watu miye huwaita chakubimbi yakwao mmh! yawenzao midomo juu. pole mwaya leo wapi ama kesho ma shostito? bana kuna kijiwe kizuri nimekigundua mahali wallah pale hata unyweje hulewi aisee palivyokuwa pazuri twende ijumaa ukapaone. miye mzima sauti imetoka leo.
wallah twende, kwanza leo cjui kama nitamaliza muda wa mwajiri hapa, ninaburst anytym kwa hasira, nways twenzetu pm!
worrrrrrdddddddd!duh! angalie usije ukadonga kwa hasira manake nikujuavyo weye sina hata amani na maamuzi yako. ila bsi ntakuchek saa 10 jion japo tukapunguze stress za haya maisha ama siyo msiri wangu wa kumoyo???
Kuna mambo mengi sana ambayo yatakiwa kufutwa zaidi ya hiyo kanga moko,wamesahau night club zoote wadada wanavaa nusu uchi hapo je?madanguro je,?wacheza show wa bendi zetu je?hakuna cha kinyume na utamadiuni,waje na sera mbadala kupambana na utandawazi wa dunia kijiji ,kuanzia mashindano urembo hadi vipindi vya TV....majumba kulala wageni na uthibiti wake,Bar na Grosary zilizojaa kila mtaa na muda wa kuuuza na kunywa pombe....yako mengi sana!!waje na hoja mbadala wa mfumo mzima
inaonekana waheshimiwa nao memba wa kuangalia kanga moko ndembendembe laki si pesa million..... huh huh huh huh
Kanga moko na bongo fleva zote zipigwe marufuku Tanzania, ila kuhusu maadili ya Tanzania hilo sijuwi. lnachekesha kuona ni wabunge wanawake tu wanaopiga kelele kina baba kimyaaaa wanawaza watapata wapi starehe kama hii. Wabunge wetu hawa, basi tu!
khaaaaaaaa kumbe na ww ni muumin wa dini hii?