Kanga moko ndembe ndembe!

Hivi vitu ndio watanzania wanavipenda!
Ukiwambia wajiandikishe kupiga kura hawataki. Haya endeleni na Kanga Moko
 
Napita wakuu...nimepotea njia!ha ha ha haaaaa...laki ni pesa!
 
Siku hizi wana style yao mpya inaitwa "Double line"
 


KWA kweli wana JF nashukuru sana kwa kunijuza! Yaliyaobaki ni mimi mwenyewe, kama nitamfunga kahanga au la!
 

Ukienda sehemu na Mumeo, watu wamevaa balaa balaa, unatakiwa uvae sexy na ujimake kimvuto kwelikweli ili asiwe anapapasa macho kwa wengine hovyo, awe yuko attetion kwako pia, kila mwanamke akiamua kujipendezesha, anavutia, usijishushe, jimake ipasavyo na utoke naye
 

Ukienda sehemu na Mumeo, watu wamevaa balaa balaa, unatakiwa uvae sexy na ujimake kimvuto kwelikweli ili asiwe anapapasa macho kwa wengine hovyo, awe yuko attetion kwako pia, kila mwanamke akiamua kujipendezesha, anavutia, usijishushe, jimake ipasavyo na utoke naye kwenda huko Continental.
 
Kwani wao waweze wana nini, hata wewe ushindwe una nini!, komaa nao, usimwachie mtu Mumeo kirahisirahisi my Sister.
 
Njoo siku nkupeleke...mme wako akisafiri,au aga unaenda kwa frnd wako
 
Ili kitu balaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!,japo wadada wanajipatia chapaa lakini ni Ufilauni ule.
 
Sio wito. Ni mambo ya ufalme wa shetani. Ndio maana yanafanyika usiku sana. Inabidi kusali sana kwa ajili ya tanzania,ndio maana mvua hazinyeshi,ajali haziishi etc yote hii ni laana kutoka kwa mungu kwa ajili ya ushetani kama huu.

Haya ni mapepo tuyakemee!!! Ukiona unatamani kwenda kuangalia jua pepo linakushawishi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…