Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Kanda ya Ziwa ni Lowassa

mkafrend

Huyu jamaa hapo alipo haitaji msuli mkubwa sana kumnadi.
Anajinadi mwenyewe. Oxford Dictionary wako katika mkakati wa kuingiza jina la Lowassa kwenye kamusi.
Tulia utaona mwenyewe anavyouzika bila kelele za kunadiwa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kwamba Lowasa has been misled by hypocrites wanaotaka visenti vyake. Sijui kama lowasa atapata chochote kanda ya ziwa. Masikini mzee huyu!!!!!!
 
Dr.john pombe magufuli kazi kubwa aliyoifanya ndani ya miaka kumi ni kuchoma nyumba za walalahoi (mazoba)(wapumbavu) na kuwabomolea nyumba zao hata bila kuwapa fidia,yeye ndie aliyesababisha wakazi wa kanda ya ziwa kukosa samaki kwa kuchoma makokoro(nyavu) na kuwakamata wavuvi wadogowadogo bila sababu hili kuwezesha viwanda vya nje kuchukua samaki kiulaini na kutuachia samaki wasio na nyama(mapanki).wakazi wa kanda ya ziwa hatuko tayari kurudia makosa.

Swali.kama alikuwa waziri wa uvuvi na baadae ujenzi akatuchomea makokoro(nyavu) na kutubomolea nyumba kidikteta je akiwa Rais si atatuchoma moto sisi na familia zetu?.
 
Pole sana ndugu. Kwani wakazi wote wa kanda ya ziwa ni Wavuvi?
 
Hujakosea kabisa mkuu upo sahihi kbs
 
Unafikiri kanda ya ziwa ni wewe na Wenje sidhani kama una kichwa na kama unacho kitakuwa kimejaa matope na kokoto.
 
Dr.john pombe magufuli kazi kubwa aliyoifanya ndani ya miaka kumi ni kuchoma nyumba za walalahoi (mazoba)(wapumbavu) na kuwabomolea nyumba zao hata bila kuwapa fidia,yeye ndie aliyesababisha wakazi wa kanda ya ziwa kukosa samaki kwa kuchoma makokoro(nyavu) na kuwakamata wavuvi wadogowadogo bila sababu hili kuwezesha viwanda vya nje kuchukua samaki kiulaini na kutuachia samaki wasio na nyama(mapanki).wakazi wa kanda ya ziwa hatuko tayari kurudia makosa.

Swali.kama alikuwa waziri wa uvuvi na baadae ujenzi akatuchomea makokoro(nyavu) na kutubomolea nyumba kidikteta je akiwa Rais si atatuchoma moto sisi na familia zetu?.

Hujitambui kabisa bwamdogo
 
By the Way tunamtsfuta Rais wa nchi na si wa Kanda ya Ziwa. Kama ninyi huko hamumtaki, sisi huku Kusini tunamhitaji sana Jembe Magufuli. Katujengea barabara ya Lami toka Peramiho hadi Mbinga. Barabara ya lami toka Songea Mjini hadi Namtumbo. Ujenzi wa Barabara toka Mbinga hadi Mbambabay unaendelea. Na kutoka namtumbo hadi Tunduru na toka Tunduru hadi Mangaka. Magufuli ana mtaji wa kura nyingi za wananchi kwa vile kafanya mambo mengi makubwa. Ila mijizi, majambazi na wahalifu kama ninyi wavuvi haramu ndo mnaleta za kuleta. Hahitaji kura za wavuvi haramu, majizi na majambazi. Hapa kazi tu
 
Hivi wale waliotapakaa ziwa victoria na mitumbwi iliyosheheni bendera za kijani wakati wa kumpokea Magufuli kumbe walikuwa wachimba madini.HUJUI VIZURI kanda ya ziwa.Subiri kura uone.
 
Kachanganyikiwa huyo. Magufuli kafuata nyayo za Mkapa. Hatutafuti Rais wa kanda ya Ziwa tu
 
ni kweli kabisa kwa sasa niko musoma (bwai) hawataki hata kumsikia huyo kiumbe
 
Tatizo La Wabongo Linakuja Pale Mtu Anaposimamia Sheria..Na Ndo Tatizo La Watz Hatupend Watu Wanaosimamia Sheria,na Huo Ndio Mwanya Wanaotumia Watumish Weng Kufilisi Nch Kwa Rushwa Na Ufisadi......!!!!
 
Alisababisha wavuvi kuanza kuvua kwa sumu ... Huyu Magufuli amewapa uamsikini mkubwa sana wakazi wa kanda ya ziwa ...

Back
Top Bottom