Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
lowasa 8 magufuli 2...
Ndio maana kamwe sichoki kukupenda kwa uelewa wako.
lowasa 8 magufuli 2...
Ushauri wangu kwa UKAWA kampeni ziwe matata sana wahakikishe kila anapokanyaga MUUZA NYUMBA ZA SERIKALI lowassa nae anapita.
Hata hao die hard CCM watabadilika tu UKAWA wakijipanga vizuri.Mimi nimekuja Kahama hapa habari mi Lowassa tu huyo Magufuri ana Washabiki wachache ambao ni die hard CCM
watu hawaeleweki, ccm inaweza kuja na mikakati ya hatari watu wakabadili upepo.
nakupenda piaNdio maana kamwe sichoki kukupenda kwa uelewa wako.
Ushauri wangu kwa UKAWA kampeni ziwe matata sana wahakikishe kila anapokanyaga MUUZA NYUMBA ZA SERIKALI lowassa nae anapita.
Watu hawaeleweki, CCM inaweza kuja na mikakati ya hatari watu wakabadili upepo.
Mkuu punguza jazba kidogoTutolee ujinga wako hapa,ni UKAWA pekee wanaoweza kuiamini hii story
Huyu mleta mada anachekesha....Yaani mahojiano yake na watu sita ama kumi wa Mwanza ndio yanamfanya ayaweke kuwa ya Kanda ya Ziwa yenye mikoa ya Mwanza..Shinyanga..Simiyu...Mara...Geita...Kagera 'na Tabora'....Watu hawaeleweki, CCM inaweza kuja na mikakati ya hatari watu wakabadili upepo.