Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #321
Shukrani The Bold, ila ungeeleza Kidogo kuhusu maisha binafsi ya Gaddafi
Safi mkuu hata mi napenda atudadavulie kuhusu personal issue zake
Shukrani wakuu kwa pendekezo! Nitafanya hivyo wakati mwingine...Yeah, atieleze marital status, alikuwa na wake wangapi? Watoto wangapi? Halafu nasikia alikuwa anaishi kwenye hema, kivipi?
JFK bado haijaisha... Itaendelea baadaeshukrani mkuu the bolded...vipi ile ya JFK?Imemalizika nayo? Mungu abariki kazi za mikono yako
JFK bado haijaisha... Itaendelea baadae
Hahahahaaa! Aiseee watu vichwa maji balaa!Good mafi yako..
Acha kuquote uzi mzima..
Daah ...wanafanya kimakusudi tuuHahahahaaa! Aiseee watu vichwa maji balaa!
Mkuu, tatizo unapiga "mawash geli" katikati ya mapaja ya muhusika hadi mtazamaji anaomba pooh! Hahahahaaa!Daah ...wanafanya kimakusudi tuu
Ukiquote Uzi mzima ni mwendo wa mitusii mizito mizito mpaka bangi ziwaishe kumkichwaa
The bold naomba nami uwe unanitag habar unazopost tafadhariJFK bado haijaisha... Itaendelea baadae
Haaaa haaa ..Mkuu, tatizo unapiga "mawash geli" katikati ya mapaja ya muhusika hadi mtazamaji anaomba pooh! Hahahahaaa!
Heshima kwako mkuu.... Dah Sina cha kusema Nawaza kuharibu.MWISHO
Kuna mengi mno ya kuandika kuhusu maisha ya kanali Muammar Gaddafi lakini kwa makala hii nitaishi hapa...
Shukrani mkuu na hongera sana acha niusome sasaPamoja mkuu..