Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Gaddafi huyo huyo alimsapoti nduli iddamini. Na alisababisha hasara kubwa Kwa ustawi wa Tanzania.
To hell with dictator Gaddafi, aliwanyima uhuru wananchi wake. Bora walibya waishi maisha ya hali ya chini lakini wakiwa na Uhuru.
Ndio athari ya bangi na viroba sasa Libya kuna uhuru gani?
 
Unatafuta bwana humu ndani au?

Unavyokuwa unaquote Uzi mzima unamaanisha nini mshamba ww!

Nasubiri hilo tusi lako nikuzalishe hapa hapa bwege ww!

Mxiiiiiiuuuu..
Kwa heshma na taadhima ya MKUU The Bold nimeona bora nikudharau.

Pia najua me nawe hatuendani ktk kila idara.

Mjinga mpe sifa!
 
Natumai mada kama hii itaamsha mijadala mipana kwa wana Jf kama ma-great thinker na isiishie kuwa kama kusoma stori za Shigongo. Iwe ni chanzo na sababu za kuchokonoa hisia na mawazo yetu kwa ajili ya faida ya nchi yetu ambayo bado ipo gizani.
acha uchochezi gizani hii nchi aliweeka baba ako?
 
Gaddafi huyo huyo alimsapoti nduli iddamini. Na alisababisha hasara kubwa Kwa ustawi wa Tanzania.
To hell with dictator Gaddafi, aliwanyima uhuru wananchi wake. Bora walibya waishi maisha ya hali ya chini lakini wakiwa na Uhuru.
usiwe unaongea usichokijua unayajua maisha wanayoishi walibya leo?
90% wanajuta kwa kosa walilolifanya
kwa taarifa yako ghadafi hakuondoshwa na walibya ni vibaraka na mataifa ya magharibi yakiongozwa na marekani na kina sarkozy sababu ya uroho wa mafuta hakuna kingine
tena hilo nilihakikishiwa na rafiki yangu mzungu mwenzao wa united nation
 
Sante sana mkuu..,ningependa pia kuhusu Eid amin dada.....Media zinapotosha mengi hasa unapoingia umagharib na ugaidi
 
Maendeleo Kwa gharama ya Uhuru.
 
Ndio athari ya bangi na viroba sasa Libya kuna uhuru gani?
Athari ya kutumia ulimi kufikiri, wakati wa Gaddafi kulikuwa na uhuru gani Libya?
Maendeleo Kwa gharama ya kutokuwa na Uhuru.
To hell with dictator Gaddafi
 
Maendeleo Kwa gharama ya Uhuru.
Athari ya kutumia ulimi kufikiri, wakati wa Gaddafi kulikuwa na uhuru gani Libya?
Maendeleo Kwa gharama ya kutokuwa na Uhuru.
To hell with dictator Gaddafi
uhuru gani unaozungumzia?
anyway kwa hiyo nawe ukiambiwa uchague kati ya uhuru na njaa utachagua njaa?
hizo ni propaganda tu za watu magharibi ambao wanazitolea macho maliasili zetu?
wamemtoa ghadafi sasa wameyakalia mafuta watu wanakufa njaa kwenye nchi tajiri
 
Ni Kama style ya hapa kazi tu, ili Maendeleo yaje. Lakini hakuna siasa mpaka 2020.
Bora njaa nikiwa huru.
 
Ni Kama style ya hapa kazi tu, ili Maendeleo yaje. Lakini hakuna siasa mpaka 2020.
Bora njaa nikiwa huru.
hizo sio akili ni matope
ni bora ushibe ukose uhuru kuliko uhuru kwenye njaa
hiyo ni hatari zaidi usiombe yakufike mkuu
 
Athari ya kutumia ulimi kufikiri, wakati wa Gaddafi kulikuwa na uhuru gani Libya?
Maendeleo Kwa gharama ya kutokuwa na Uhuru.
To hell with dictator Gaddafi
Mimi sijakuambia kulikua na amani Libya,ila nimekuuliza sasa hivi kuna amani baada ya Gaddafi kuondolewa?
 
Kweli kabisa aisee
 
acha uchochezi gizani hii nchi aliweeka baba ako?
Kuwa na akili wewe ulichoweza kupambazua wewe ni uchochezi tu hapo? Na kuhusu hii nchi wewe unaiona ipo kwenye nuru hii au kwa kuwa wewe unashiba na kwenda kunya kila siku? Ficha upumbavu kama hujui kitu unakaa kimya. I wonder nina argue na mtoto mdogo au jitu hopeless. *** you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…