Kamwe siwezi kumpigia magoti mwanamke

Kamwe siwezi kumpigia magoti mwanamke

We unampigia magoti mkeo akienda muhuni wake yeye ndio anapiga goti ananyonya koni mpaka inatakata afu anachumishwa mboga sana tena kibabe na pesa ya mboga uliyotoa muhuni anapewa akale Kongoro mboga mboga
[emoji2][emoji2][emoji2]mzee una ushahidi katika hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume unapigia goti mwanamke wakati hapo hapo Kuna kijamaa kijinga jinga kinamuendesha mpaka tumbo la uzazi linamuuma.
Ni ujinga ambao sijui vijana wameutoa wapi!!
Kwetu mwanaume unapigishwa goti Kama umekosea kosa ambalo unahitaji kushushwa heshima yako.
Yaani unakuwa umefananishwa na wanawake tu.!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mwanaume mzima mwenye akili timamu upige magoti? kwa lipi? ume mkuta bikra? au ndio aliisha tumika mbele nyuma kapakatwa mpaka na vibabu!
Kupiga magoti maana yake ni kutii mamlaka yake. Kuna kenge wanajiona wanakwenda na wakati na wengine wanafika mbali zaidi wanaanza na kulia machozi!! Huu ni usaliti, usaliti wa jinsia kum*****zenu wote.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] umemaliza kila kituuuu[emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumpigia magoti mwanamke hususani wakati wa kumvisha Pete,Ni ushaidi tosha kuwa unaendeshwa zaidi na hisia kuliko akili,
@@

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Back
Top Bottom