Kamwe siwezi kumpigia magoti mwanamke

Kamwe siwezi kumpigia magoti mwanamke

Maigizo tu hayo,ndoa ni kuishi kwa amani,uvumilivu,upendo na mshikamano;hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Hayo mambo mengine ya kupiga goti ni kuiga uzungu ambao nina hakika kiitikadi zetu hauna mahusiano yeyote na uhalisia wa maisha yetu.
Kibongo bongo demu unaenda kuchagua nae pete ya uchumba, mnaita watu halafu unajifanya kupiga goti na yeye anajifanya kushangaa na kilio juu wakati amepanga kila kitu mwenyewe.
Za kwetu sisi ni kumleta demu kwako, kila siku anajifanya kusahau nguo moja moja, ukitahamaki chumba chote kimejaa nguo zake. Baada ya muda anakwambia sioni siku zangu, anazaa, unaenda kujitambulisha kwao. Baada ya miaka 10 na watoto 3 mnachangisha ndugu na marafiki kufanya sherehe ya ndoa na mtu mloishi kindoa kwa miaka 10. Hakuna mambo ya goti hapo.
Kama unanisema mimi vile !!
 
Hivi ngoja nikuulize
Wew toka uwanze mahusiano hujawai kumdanganya mwanamke? Unampenda na kumbe ni tamaa tu za kimwili?

Anza na kutaja umri wako.
Naunga mkono hoja ataje umri wake kwanza mi nakumbuka nilifanya hvyo wakati wa kwenda kutoa mahali uchagani watu kibao walishuhudia tukio ilo maalum la kumvisha pete mkewangu kipenzi.
 
Hayo mambo mengine ya kupiga goti ni kuiga uzungu ambao nina hakika kiitikadi zetu hauna mahusiano yeyote na uhalisia wa maisha yetu.
Kibongo bongo demu unaenda kuchagua nae pete ya uchumba, mnaita watu halafu unajifanya kupiga goti na yeye anajifanya kushangaa na kilio juu wakati amepanga kila kitu mwenyewe.
Za kwetu sisi ni kumleta demu kwako, kila siku anajifanya kusahau nguo moja moja, ukitahamaki chumba chote kimejaa nguo zake. Baada ya muda anakwambia sioni siku zangu, anazaa, unaenda kujitambulisha kwao. Baada ya miaka 10 na watoto 3 mnachangisha ndugu na marafiki kufanya sherehe ya ndoa na mtu mloishi kindoa kwa miaka 10. Hakuna mambo ya goti hapo.
Upo sawa
 
Kama sisi tunaweza kufanya zaidi ya hivyo kuwafurahisha sioni shida by the way kuna vitu huja naturally (bila kulazimisha).
 
siku hizi wanaume wamechukua tabia za kike
..kulishwa na kutunzwa na ke
...kusuka
...kuliwa nyuma
...kutoga sikio
...kukukuza makalio
...kuwapigia magoti
 
Nitapiga goti kama namchumbia mzungu sio demu wa kiAfrika.
 
huyu akionekana kwetu mara atachapwa fimbo nyingi sana... kwasababu watamhusianisha na ushoga
 
Unampigia magoti kumbe anakustahi tu, na unakuta apo unapigiwa mpaka chumbani kwako.wanawake si wakuwaoneshea Upendo zaidi ya anavyokupenda wewe
Na huo ndiyo ukweli wenyewe atakayebisha na abishe
 
Back
Top Bottom