Kamwe siwezi kumpigia magoti mwanamke

Kamwe siwezi kumpigia magoti mwanamke

Only fools bow the knee, through my travails in life, I have come to notice women detest men who stoop so low just to please them.

All this might be erased the moment she meets a man she genuinely desires.
 
Kamwe siwezi kumpigia magoti mwanamke never,ever in my life
Kati ya mke na mume ni nani anayepaswa kubembeleza ndoa? Wanaume siku hizi wamekuwa wachache mkuu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Yaani upige Magoti na utoe million nane kama McPilipili. Huo ni ujinga wa kiwango cha PhD
 
Ni upumbavu wa hali ya juu sana mwanaume kupiga magoti (goti) mbele ya mwanamke kwanzia siku hiyo umemwonyesha Huyo mwanamke kuwa yeye ni zaidi ya kila kitu kwako na unampa mamlaka ya kuwa kichwa cha familia tuache kuiga mila na tamaduni ambazo sio zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom