Kamtongoza Mke wangu, nikamla mke wake

Siku Wajuba wakikutumia msg ZA Mkeo utakufa uzimie ....Wanawake huwajui wewe....unacheza makida
 
Bado hajatokea mtu wa kufanya hivyo

Na ninaisubiri siku hiyo nimpongeze atakayefanikiwa
Wa kuyasema hayo ni mkeo mwenyewe sio wewe. Unaisemeaje nafsi ya mtu usiejua anawaza nini aisee.

Huko ni kutulisha matango pori au tuziite story za vijiweni tu. Una mauhakika 100% kama vile yeye ni wewe kwa kila kitu mkuu 😂😂. Acha izo bna
 
Kwa ushamba tu wamaneno yako mke wako Ni mbaya sema unamwona mzur tu kisa mweupe na wewe Ni wa Kanda Ile !! Mimi sio nabii
 
Huna lolote wewe,kwenye anga zetu mabaharia utuwezi,sisi tunapita na mpaka na wazazi wao wale wanaotaka kujifanya mabaharia,hapa Tz tupo watano tu

Kuna Moja yuko kigamboni,

Bunju

Upanga ndo Mimi

Ukonga

Na kimara.

Huwa tuneshindikana
 
Huna utakalo mwambia Jokajeusi.

Njoo umle na wewe, hii ni Mali kutoka kiwandani, haijapitia Kwa wachuuzi.

Pia ukisoma vizuri utaelewa kuwa nimesema huyu mtu wa Hazina kamfuatilia mke wangu zaidi ya wiki tatu kaambulia patupu.

Huwaga majoka hatusubiri tuambiwe na wanawake, bali Sisi wenyewe kupitia uchunguzi wetu tunajua kila kinachoendelea

Karibu umtongoze mke WA Jokajeusi nawe uliwe Mkeo na wewe mwenyewe
Unajuaje kaambulia patupu. Kumbuka mliwa huliwa!
 
Kama wewe ndio unamgonga nakubaliana na wewe.

Usidhani kila mwanaume anafaa kuibiwa mke, wanaoibiwa wake ni Wale maboya au walioamua kuonewa.

Chukua mke Bikra kisha njoo nikufanyia mpango usichapiwe.

Maana mnasikitisha sana
Kama hakuwa bikra je?
 
Mwanamke ni kitu ambacho hutakiwi kuwa na uhakika nacho kinaweza kikachapwa muda wwte mahali popote. Kuna mke wa mtu juzi kachapwa kwenye gari ya abiria tena kifaa kweli kweli
nikasema eetata eeejoba!
 
56 Reactions
Reply
Back
Top Bottom