Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,902
71,445
Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu.

Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na watumishi wa makampuni hayo wanahusika?
 
Back
Top Bottom