NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Habari wa kuu, elimu ni bora kabla ya kutwendwa maana majuto huwa siku zote ni mjukuu,
Kuna kampuni mmoja nilituma pesa inaitwa tredecarview Gari yenyewe sikufanikiwa na uipata pesa nimezungushwa sana na hawa jamaa mpaka kufanikisha kupata pesa yangu ilichukua muda..
Sasa tunaomba kwa wengine wanaojua makampuni laghai, ambao hawapo kibiashara wayaanike hapa ili iwe faida kwa wana jf..
Nawasilisha...