Kampuni za kuagiza magari ughaibuni laghai sana

Kampuni za kuagiza magari ughaibuni laghai sana

Tunazungumzia hapa Dar maana nasikia wanamatawi yao hawa SBT,
 
PCCB/TAKUKURU njooni JF.
Kuna watu wanakula rushwa ku boost makampuni humu.
Hembu tupeni na sie channell za mgao wa pesa
 
Habari wa kuu, elimu ni bora kabla ya kutwendwa maana majuto huwa siku zote ni mjukuu,

Kuna kampuni mmoja nilituma pesa inaitwa tredecarview Gari yenyewe sikufanikiwa na uipata pesa nimezungushwa sana na hawa jamaa mpaka kufanikisha kupata pesa yangu ilichukua muda..

Sasa tunaomba kwa wengine wanaojua makampuni laghai, ambao hawapo kibiashara wayaanike hapa ili iwe faida kwa wana jf..

Nawasilisha...

tumia ebay mtandao uwe na master card ya crdb waambie wakuunganishe na peypal uzur hawafany malipo had wakwambie na wanakupa namba flan ya kutumia na sio accounta namba yan mzgo unafika bila was hata mimi niliogopa sana lakn sasa nimeamini iko njema kabisa.magar mpaka mil 2 lak 6 vitz na inafika bongo upo hapo.
 
Sasa kati ya SBT na Be Forward wanatofauti gani, yupi ni bora zaidi na kwanini?
Embu toeni ufafanuzi kuhusu PAYTRADE, kwanini alipwe fedha yeye wakati sio wakala wa kuuza magari kutoka Japan?

Mkuu hao wote magari yao mabovu na yana km nyingi. Tradecarview ni jukwaa ambapo dealers wanatangaza magari yao na sasa ili kuondoa utapeli pesa inatumwa kwa hao Tradecarview mpaka muuzaji atakapo onyesha copy ya bill of lading ndio pesa anapewa. Kwenye hilo jukwaa utapata makampuni mengi yenye magari ya uhakika kama autorec na real motor.
 
mtoa mada hukufata maelekezo kila kitu kimewekwa pale wanakuonya usi deal na seller moja kwa moja usiwasiliane naao pembeni mawasiliano yote yafanyike pale.mi nimeshaagiza zaidi ya mara tano bila tatizo lolote gari inafika muda muafaka.
othewise umetumwa uichafue hii kampuni sasa ivi wana agent wao wanaitwa walmax kama unashindwa kuagiza nenda kwa hawa wall max watakusaidia kuagiza
 
PCCB/TAKUKURU njooni JF.
Kuna watu wanakula rushwa ku boost makampuni humu.
Hembu tupeni na sie channell za mgao wa pesa

uyu jamaa anapiga promo kama sbt wanavyopiga promo kutwa kupigia watu kuwabembeleza wanunue magari kwao.
 
SBT wapo vizuri sana, tatizo gari zao Nyingi zimetembea km nyingi ila zinakuwa kwenye hali nzuri kwa maana ya engine. Gari yangu ya kwanza nilinunua kwao na Japo ilikuwa na km nyingi lakini haikuwahi kunisumbua mpaka naiuza.

Beforward ndio nimeagiza Gari hivi karibuni, gari zao zina km ndogo ila sijawahi kusikia malalamiko sana kutoka kwa watu wa karibu ambao wengi wao wamenunua kwao. Ila huduma zao ni nzuri na wakala wao anakupa ushirikiano mzuri

Tofauti pekee niliyoona kati yao ni mileage za magari yao, SBT gari zao nyingi zinakuwa zimetembea km nyingi japo zinakuwa vizuri na Beforward zinakuwa na km chache nyingi.

Tumia mawakala utaepuka Mengi
 
uyu jamaa anapiga promo kama sbt wanavyopiga promo kutwa kupigia watu kuwabembeleza wanunue magari kwao.
Aisee kumbe mchakato ni mrefu,ndio maana wameamua kulishia hadi humu.
Maana hao wanaooponda hizo Kampuni za mwanzo ndio hao hao ukiangali baadhi ya posts humu walikuwa wanawasifia.
Kaaazi kweli kweeliii
 
VWEST is the company! hutajuta kuagiza gari katika hiyo company http://www.vwest.jp/
 
Back
Top Bottom