saidi kalindura
Member
- Jan 26, 2015
- 41
- 13
Jamani hapa hamna kazi hao ndo wale wale matapeli tu kama kuna mtu anabisha piga hiyo Namba utaishia kuambiwa toa alf tano ya form hapo ndo utakaposhangaa. Mi ndo kila siku nasema hawa matapeli ya kazi wataisha lini.? Serikali inajitahidi sana kuwakamata lakini wanazaliwa wengine. Hii taarifa pia serikali fatilia hii kampuni uchwara hawa pia matapeli..