Kampuni ya usafi wa hotelini na maofisini ya BM inatoa ajira

Jamani hapa hamna kazi hao ndo wale wale matapeli tu kama kuna mtu anabisha piga hiyo Namba utaishia kuambiwa toa alf tano ya form hapo ndo utakaposhangaa. Mi ndo kila siku nasema hawa matapeli ya kazi wataisha lini.? Serikali inajitahidi sana kuwakamata lakini wanazaliwa wengine. Hii taarifa pia serikali fatilia hii kampuni uchwara hawa pia matapeli..
 
JamiiForums njooni huku muone.
 
sio utapeli bali hii kampuni ni mpya so hyo elfu tano inakuwa ya kwenda kununua shati lako bali wao wanasema ya fomu lakin pia usiende kuropoka hvyo nyamaza
 
Acheni utapeli we unanipa kazi bado uniform nikanunue mm huu ni wizi mtupu narudia tena hii ni moja kati ya matapeli wapya waliokuja na gia ya usafi alafu unaambia toa alf tano. Mi niombe tu jeshi la polisi liwafatilie hawa watu vinginevyo wataendelea kuwaibua ndugu zetu..
 
Alafu nyie ni matapel kwel nilimpa mdada mmoja hiyo no hapo juu anahitaji kazi alafu mkamjibu shit Mara mumkatie cm cjui MNA mana gan
 
Habar za muda huu waungwana!

Leo sijaja na maneno mengi,machache tu yenye faida.

kuna kampuni ya usafi wa hotelini na maofisini inaitwa five BM inatoa ajira kwa kijana yeyote mwenye elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea.

muhimu ujue kufanya usafi,bidii ya kazi,nidhamu na kujituma.

kuwapata wahusika piga namba
0719384693

au fika manyanya nyuma ya msikiti wa mvumoni au tembelea fb page five BM..

shukrani

UTAPELI

Wakuu, huyu nae ni tapeli wa mjini. Nilimpigia simu akaniambia inatakiwa kwenda na barua ya mdhamini, serikali ya mtaa na cover letter. Nilipofika hapo amenipokea dada akaniambia hawezi kupokea barua zangu hadi nimpe 5000/= ya form.....
Initially hakua amesema kuhusu hiyo 5000/= ya form...nikauliza form ya nini wakati tayari nimekuja na barua zangu? Nikaambiwa wanapokea barua za waliojaza form tu.....

Nimeondoka zangu, japo sikua mhitaji nilitaka tu kujua kama ni watu wa kweli ili niwaelekeze wahitaji ila kwa hali nilivoiona nikimpeleka mtoto wa watu akalipe 5000/= afu mwisho wa siku hakuna kazi...ni mimi ndiye nitavuna LAWAMA.
watu wenyewe wanaoenda kuomba kazi za aina hiyo ni wale wa hali ya 'MTANZANIA" kabisa sasa ukimuibia hela yake kwa mtindo huo inakera sana.

Ndugu zangu wajasiliamali na wajanja wajanja na makanjanja wa mjini, tunajua hali ni ngumu sana. Lakini njia hiyo mnayotumia kupora pesa za watu muogopeni Mungu....
 
Alafu nyie ni matapel kwel nilimpa mdada mmoja hiyo no hapo juu anahitaji kazi alafu mkamjibu shit Mara mumkatie cm cjui MNA mana gan

Wanaomba pesa eti za kujazia form, sassa kwani msitangaze kwamba anaetaka kazi aje ofisini kwenu ajaze form...eti form 5000/=.
UTAPELI MWINGINE, MUNGU ANAWAONA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom