Mwarabu wa kayenze
Member
- Jun 4, 2015
- 68
- 48
Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya kimatibabu! Nawapigia customer care wananiambia wanashughulikia ndani ya masaa 72 muamala utamfikia mlengwa; nimewaambia waurudishe kwangu ili mimi niitoe nimtumie kupitia airtel money wananiambia nisubiri hela itamfikia baada ya masaa 72. Kwenye huduma za kifedha yas mmefeli.