Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

Mbona na hawa kina Robert umewasahu...
Bw. Anangisye Mtafya, Bw. Nsajigwa Mwandengele na Bw. Robert Nyoni.Bw Masamaki.

Mwamedi mkubwa alishasema ndugu zake wasilipe kodi.. Hao walitekeleza tu

Ila yanayoendelea Mwamedi mkubwa kule kwenye mashamba ya mananasi yamemuuma sana..
 
Steph Curry

tatizo unabishana huku game ya import huijui,,hujawai import hata gari au cbm moja package.

jaribu kwanza ujifunze game ilivyo na usumbufu wa ajabu,, ila ndio watanzania tulivyo kushadadia vitu tusivyovijua na tunajifanya tunajua
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu wangu wenye nguvu ambao wanafunga makotena wanaendelea kupeta Silent Ocean, jamaa wameamua kuachana na lose cargo zinaleta maneno kuwa wanakwepa ushuru basi tuone hizo kampuni kama zitaweza kusafirisha lose cargo.

Mbona kama una hisia kali sana?

Turudi MMU kule hakuna stress.

Wachuchu wako wanakumiss sana... wewe Rejao na Bishanga mmepotea sana
 
Last edited by a moderator:
Biashara ni ujasilia mali ikishindikana kutoka nje ya nchi ndani pia inawezekana, jambo baya ni kukata tamaa.
 
tatizo unabishana huku game ya import huijui,,hujawai import hata gari au cbm moja package.

jaribu kwanza ujifunze game ilivyo na usumbufu wa ajabu,, ila ndio watanzania tulivyo kushadadia vitu tusivyovijua na tunajifanya tunajua
Mkuu sasa hivi mtaambiwa CBM 1 dola 1000 kulipia sijui mtashitaki wapi.
 
tatizo unabishana huku game ya import huijui,,hujawai import hata gari au cbm moja package.

jaribu kwanza ujifunze game ilivyo na usumbufu wa ajabu,, ila ndio watanzania tulivyo kushadadia vitu tusivyovijua na tunajifanya tunajua

Sasa wewe mbuzi unayeagiza CBM 3 ndiye unajua importation... Unanichekesha tu..

Hicho kimtaji chako cha million 20 kaa nacho hapo Kariakoo usubiri wanaume wakienda kufungu CBM 200 waje wakuuzie kwa wholesaling.. Hivyo visafari vya China lazima vikauke mwaka huu
 
Watanzania,

Baada ya sakata la makontena kupamba moto leo hii nipo China nimepeleka mzigo wangu kwenye kampuni ya usafirishaji mizigo ya Silent Ocean iliyopo Guangzhou China.

Wamesema hawapokei lose cargo kwa sasa wanapokea makontena wameniambia kama unaweza kujaza kontena tuletee tutakusafirishia mpaka Dar es Salaam.

Hili ni pigo kubwa kwa wafanya biashara amabao hawana uwezo wa kujaza kontena zima nimerudi na mzigo wangu hotelini sijui cha kufanya.

Wafanya biashara wadogo wadogo tutafanyaje ili mizigo yetu ya lose cargo iweze kufika Tanzania.

Mkuu kwani mkichanga mizgo yenu kama ni watu watano au zaidi haiwezekani?
Nimeona mizigo mingi ya wanyarwanda wakichanganya na wakongo unaweza kukuta kontena moja lina mizigo ya watu 6 au 8,

Pole kaza buti ndio mfanye kuchanga sasa
 
Mwamedi mkubwa alishasema ndugu zake wasilipe kodi.. Hao walitekeleza tu

Ila yanayoendelea Mwamedi mkubwa kule kwenye mashamba ya mananasi yamemuuma sana..
Tujaribu kujadilia vizuri haya mambo ya udini hayafai ufisadi hauna dini kwenye huu ukwepaji kodi wapo Waislam na Wakiristo.
 
Sasa wewe mbuzi unayeagiza CBM 3 ndiye unajua importation... Unanichekesha tu..

Hicho kimtaji chako cha million 20 kaa nacho hapo Kariakoo usubiri wanaume wakienda kufungu CBM 200 waje wakuuzie kwa wholesaling.. Hivyo visafari vya China lazima vikauke mwaka huu

asante cbm 200 ni container la size gani? uasahau lazima package ibaki na loose cargo hapo,, kabla hujaongea atleast ufanye reserch??

nazani hata cbm hujui ni nini,, kula kulala kwa shemeji
 
Dah aisee awa jamaa sasa mbona wanaharibu wafabyabiashara ndogondogo walemabinti itabidi wajikusanye ilaniwambie kuleta kwa kontena kunawasaidi kuliko loose cargo..anyway

mungu awatienguvu nakuwaongezea mitaji
 
Mkuu kwani mkichanga mizgo yenu kama ni watu watano au zaidi haiwezekani?
Nimeona mizigo mingi ya wanyarwanda wakichanganya na wakongo unaweza kukuta kontena moja lina mizigo ya watu 6 au 8,

Pole kaza buti ndio mfanye kuchanga sasa

Mkuu hawa wasikuumize kichwa.. kwani zamani walikuwa wanaagizaje??

Tatizo walishazoea safari za China na kwenda kupiga selfie wazitume kwenye mitandao.. Logic ndogo tu, kama unaagiza CBM 5 mkikusanyika watano tu wa aina hiyo mnajaza Kontena.. Na uzuri pale Kariakoo maduka yao huwa yanafuatana, sasa sijui wanashindwaje kushirikiana waagize pamoja..
 
  • Thanks
Reactions: amu
asante cbm 200 ni container la size gani? uasahau lazima package ibaki na loose cargo hapo,, kabla hujaongea atleast ufanye reserch??

nazani hata cbm hujui ni nini,, kula kulala kwa shemeji

hahahahaha sasa hizo hesabu za maumbo shule ya msingi unataka nikupigie hesabu.. Mbona una akili chache hivyo na wewe..

Au huo mtaji umepewa na shemeji..
 
Huyu jamaa ukimtajia hiyo kampuni, ukimtajia HSC, ukimtajia JK na ukimtajia Riz huwa anatoka mapovu sana.. teh teh teh
Siyo kweli umehamua kujifurahisha mimi Riz wapi na wapi ukiweza kuweka hata post moja natokwa na pozi kumtetea Riz najitoa JF huyo Asprin na mashikaji wangu tunajuana.
 
Ni wakati muafaka kwa wafanyabiashara wadogo waendao China wakutane na kuomba kusikilizwa na serikali.
 
Siyo kweli umehamua kujifurahisha mimi Riz wapi na wapi ukiweza kuweka hata post moja natokwa na pozi kumtetea Riz najitoa JF huyo Asprin na mashikaji wangu tunajuana.

teh teh teh lakini HSC na Silent Ocean wanakutoaga mapovu sana sio.. Ni kwanini, una ubia huko au??
 
Mkuu hawa wasikuumize kichwa.. kwani zamani walikuwa wanaagizaje??

Tatizo walishazoea safari za China na kwenda kupiga selfie wazitume kwenye mitandao.. Logic ndogo tu, kama unaagiza CBM 5 mkikusanyika watano tu wa aina hiyo mnajaza Kontena.. Na uzuri pale Kariakoo maduka yao huwa yanafuatana, sasa sijui wanashindwaje kushirikiana waagize pamoja..

Kweli wakumbuke wanamitaji midogo na huu utaratibu mbona watu wengi tu umewatoa na mpaka kufikia kuwa na uwezo wa kuagiza kontena peke yako!
.
Ila kimeeleweka kumbe wengi bado mitaji ipo chini alafu tunataka ulimbukeni
 
Sasa wewe mbuzi unayeagiza CBM 3 ndiye unajua importation... Unanichekesha tu..

Hicho kimtaji chako cha million 20 kaa nacho hapo Kariakoo usubiri wanaume wakienda kufungu CBM 200 waje wakuuzie kwa wholesaling.. Hivyo visafari vya China lazima vikauke mwaka huu
20ft-container-approximately 26-28-CBM; 40ft-container.

Hamna container la CBM 200.

Labda tumuulize Waziri Mkuu Majaliwa anaweza kutusaidia.-
 
Back
Top Bottom