Asante Kipilipili, nlichokajee? Kumbe fix tu hizi.
Bora muache tu biashara, maana nyie wenye mitaji midogo ndo mnatuletea bidhaa kutoka China zisizokuwa na ubora kwa kisingizio cha mtaji mdogo. Nawachukia watu wanaoagiza nchini bidhaa bofubofu.Watanzania,
Baada ya sakata la makontena kupamba moto leo hii nipo China nimepeleka mzigo wangu kwenye kampuni ya usafirishaji mizigo ya Silent Ocean iliyopo Guangzhou China.
Wamesema hawapokei lose cargo kwa sasa wanapokea makontena wameniambia kama unaweza kujaza kontena tuletee tutakusafirishia mpaka Dar es Salaam.
Hili ni pigo kubwa kwa wafanya biashara amabao hawana uwezo wa kujaza kontena zima nimerudi na mzigo wangu hotelini sijui cha kufanya.
Wafanya biashara wadogo wadogo tutafanyaje ili mizigo yetu ya lose cargo iweze kufika Tanzania.
Waache tu maana hao ndo wanatuletea tooth pick na simu feki kutoka china, hawana adabu.Ni wakati muafaka kwa wafanyabiashara wadogo waendao China wakutane na kuomba kusikilizwa na serikali.
Bora muache tu biashara, maana nyie wenye mitaji midogo ndo mnatuletea bidhaa kutoka China zisizokuwa na ubora kwa kisingizio cha mtaji mdogo. Nawachukia watu wanaoagiza nchini bidhaa bofubofu.
Mkuu hamna mtu anayekwepa kulipa kodi mimi naelezea tatizo liliopo kwa wale watu wenye mitaji midogo hatuwezi kujaza kontena tutafanyaje.
Acha mambo zako ww ana mazuri yapi? ambayo amewafanyia watz yaan kubeba CBM 5 za mtu mmoja na kuiba mabilion ya watz ndio. unaanza kujingiza humu jamiiforum kwa ajili ya kuhadaa watu ww subil msumali uingie na tutatoa ushahidi mpaka mtajuta.