Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
894
Watanzania,

Baada ya sakata la makontena kupamba moto leo hii nipo China nimepeleka mzigo wangu kwenye kampuni ya usafirishaji mizigo ya Silent Ocean iliyopo Guangzhou China.

Wamesema hawapokei lose cargo kwa sasa wanapokea makontena wameniambia kama unaweza kujaza kontena tuletee tutakusafirishia mpaka Dar es Salaam.

Hili ni pigo kubwa kwa wafanya biashara amabao hawana uwezo wa kujaza kontena zima nimerudi na mzigo wangu hotelini sijui cha kufanya.

Wafanya biashara wadogo wadogo tutafanyaje ili mizigo yetu ya lose cargo iweze kufika Tanzania.
 
Pole sana mkuu, Tafuta mbongo mwenzio mshare kontena !
ila wafanyabiashara wadogo wa kkoo mtaikumbuka sana home shopping kwa kuwainua
 
silent ocean imenibeba sana,, kiukweli ni mkombozi wa watu wa chini,, kampuni za clearing zote ni wezi tu na ujanja ujanja,, na chuki zao kwa silent ni kukosa wateja maana watu wote walikimbilia kwao...

sasa turudi kwa agents wa uchochoroni longo longo kibao na bado kodi hawalipi kwa serikali.

bora silent hata kama kodi hawalipi lakini mteja unapata mzigo wako bila usumbufu na kwa wakati sahihi
 
Watanzania,

Baada ya sakata la makontena kupamba moto leo hii nipo China nimepeleka mzigo wangu kwenye kampuni ya usafirishaji mizigo ya Silent Ocean iliyopo Guangzhou China.

Wamesema hawapokei lose cargo kwa sasa wanapokea makontena wameniambia kama unaweza kujaza kontena tuletee tutakusafirishia mpaka Dar es Salaam.

Hili ni pigo kubwa kwa wafanya biashara amabao hawana uwezo wa kujaza kontena zima nimerudi na mzigo wangu hotelini sijui cha kufanya.

Wafanya biashara wadogo wadogo tutafanyaje ili mizigo yetu ya lose cargo iweze kufika Tanzania.

Mkipata hasara ndio mtajifunza kufunga midomo katika biashara kuna namna ya kupindisha sheria ili mambo yaende, sasa Magufuli sio mzuri sana kibiashara ngoja awapeleke kiserikali ili mjifunze biashara. Yeye hata kupinda sheria kwake ni kosa na ameshika ruler anawasubiri, ametoa grace period lakini TRA wanajinyea na wamefunga maduka ya watu.
 
Mkuu hamna mtu anayekwepa kulipa kodi mimi naelezea tatizo liliopo kwa wale watu wenye mitaji midogo hatuwezi kujaza kontena tutafanyaje.
 
Pole sana mkuu, Tafuta mbongo mwenzio mshare kontena !
ila wafanyabiashara wadogo wa kkoo mtaikumbuka sana home shopping kwa kuwainua

kujaza container si mchezo,, maana 20 feet container tu ni cbm 28, sasa cbm moja mzigo mkubwa sembuse ujaze container cbm 28,,, hapo lazima tuisome namba
 
Mkuu tutarudi kwenye vikampuni uchwara vya kina Masawe tuibiane mizigo vizuri.
 
Hao walikuwa wanapiga hela kwa kukwepa kodi kwenye serikali ya mkwere, sasa wamekumbana na serikali ya tingatinga wameona maji marefu ngoja wabakie kuwa forwarding agent tu, otherwise sioni kwanini wasikusanye hizo loose cargo zenu hadi zijae kontena ndo wanawasafirishia
 
Mkuu tutarudi kwenye vikampuni uchwara vya kina Masawe tuibiane mizigo vizuri.

bila majungu wala nini,, katika kampuni ya clearing iliyojipanga na yenye customer service ya juu jamaa wanaongoza,, hata DHL, BOLLORE, KUHNE +NAGEL na makampui mengine ya wazungu hawajafika levo za silent ocean kwa huduma kwa wateja kila kitu systematic,, taarifa on phones automatic sms kila stage,, mzigo unatoka kwa wakati na haupotei

wateja wote walikimbilia kwao sababu ya huduma zisizo na longo longo wala usumbufu,,, kina masawe hao na vikampuni uchwara ni wasumbufu hatari na wezi sana na bado kodi wadanganyifu,,

silent ocean tutaimiss sana,, na lazima tuisome namba,, maaana 90 parcent ya wajasiriamali tanzania wana import via silent ocean.

sina hamu kabisa na vikampuni uchwara
 
bila majungu wala nini,, katika kampuni ya clearing iliyojipanga na yenye customer service ya juu jamaa wanaongoza,,

Cha kushangaza wale wakwepa kodi wa makontena 349 wakishirikiana na Azam majina yao ni akina Mwamedi, Ali, Hamisi
 
Pole mkuu wangu wenye nguvu ambao wanafunga makotena wanaendelea kupeta Silent Ocean, jamaa wameamua kuachana na lose cargo zinaleta maneno kuwa wanakwepa ushuru basi tuone hizo kampuni kama zitaweza kusafirisha lose cargo.
 
Steph Curry

hakuna kampuni yoyote ya clearing Tanzania isiyokwepa kodi,, thats a fact nimekupa,,

mmuulize agent yoyote au mtu yoyote ana import mizigo mara nyingi,, narudia tea hakuna clearing agent asiyekwepa kodi..

sasa wengie kodi wanakwepa na bado wanaibia wateja mizigo na wasumbufu,,

hao ndio tunawaponda wajirekebishe wafanyabiashara tupate huduma bora kama silen ocean
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu walitakiwa wawe six ft chini kwa utter nonsense wanazotoa...hivu kutolipa kodi inawasaidia vipi watz?
 
Cha kushangaza wale wakwepa kodi wa makontena 349 wakishirikiana na Azam majina yao ni akina Mwamedi, Ali, Hamisi
Mbona na hawa kina Robert umewasahu...
Bw. Anangisye Mtafya, Bw. Nsajigwa Mwandengele na Bw. Robert Nyoni.Bw Masamaki. Bwa. Bulton Mponezya.
 
hakuna kampuni yoyote ya clearing Tanzania isiyokwepa kodi,, thats a fact nimekupa,,

mmuulize agent yoyote au mtu yoyote ana import mizigo mara nyingi,, narudia tea hakuna clearing agent asiyekwepa kodi..

sasa wengie kodi wanakwepa na bado wanaibia wateja mizigo na wasumbufu,,

hao ndio tunawaponda wajirekebishe wafanyabiashara tupate huduma bora kama silen ocean

Yale makontena 349, 343 ni ya kina Mwamedi na Hamadi..
 
Pole mkuu wangu wenye nguvu ambao wanafunga makotena wanaendelea kupeta Silent Ocean, jamaa wameamua kuachana na lose cargo zinaleta maneno kuwa wanakwepa ushuru basi tuone hizo kampuni kama zitaweza kusafirisha lose cargo.

loose cargo ni rahisi sana kupotea kuliko FCL,, sasa wanataka loose cargo tusafirishe kwa vikampuni vya kuhuni si ndio kufeli maisha,, unakuta una boksi zako sita na bado wanaziiba hao ma agent njaaa na bado kodi hawalipi,, ma storage kibao mzigo hautoki kwa wakati,, yaani full njaaa,,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom