Sidhani kama TTCL ni y akufa leo wala kesho............TTCL inaservice nyingi za corporate na hazitangazwi kama izo za ONGEA BURE SA 4 HADI12 ASUBUHI....wateja wa corporate wanajua wapi pa kupata huduma izo........na even hao Voda sjui airtel wanaitegemea sana TTCL kuwa hapo walipo...........sipo kwenye industry hiyo but nafahamu...TTCL naiheshimu sana.

I was wondering kwanini walikuja na technology ambayo ilikuwa obsolete. Ile technology ndio waliyoanza nayo Mobitel na Tritel. Wao walikuwa wame target soko gani?
Mkuu MkonowaPaka, Endelea Kudhani.
Nimestaafu kazi TTCL Miaka Sita iliyopita na ninajua ninachoandika.
umri wa kustaafu kwa hiari ni miaka 55 na ule wa lazima ni miaka 60, assuming jamaa kastaafu kwa hiari at 55, now 6+55=61, kwamba muandishi yuko na 61 minimum? na anajua hata kuweka blue font kwenye JF?
...And What is So Strange about that, pray tell?? Are You that Backwards My Dear Twenty Something Fellow Great Thinker?? Kwako Wewe Kaka/Baba Yako wa KiTanzania wa Umri wa Miaka 61 kuweza kuweka Blue/or any color, Font hapa JF, ni Kitu cha Ajabu Kiasi Hicho??? Really??? :confused2::mmph:
All facts are easy to understand once they are discovered; the point is to discover them.
Walikuja na mbwembwe wakakutana na akina tigo wakashindwa wakaamua kuwekeza kwenye internet zaidi ambayo nayo ni bogus sasatel huwezi tumia mikoani kama airtel hiyo kampuni isipouzwa itafungwa mda wowote
sasatel...connect your way!
This is good comedy.Sidhani kama TTCL ni y akufa leo wala kesh...TTCL inaservice nyingi za corporate na hazitangazwi kama izo za ONGEA BURE SA 4 HADI12 ASUBUHI....wateja wa corporate wanajua wapi pa kupata huduma izo...
LA HASHA!
Sasatel, Correct your way!
...And What is So Strange about that, pray tell?? Are You that Backwards My Dear Twenty Something Fellow Great Thinker?? Kwako Wewe Kaka/Baba Yako wa KiTanzania wa Umri wa Miaka 61 kuweza kuweka Blue/or any color, Font hapa JF, ni Kitu cha Ajabu Kiasi Hicho??? Really??? :confused2::mmph:
ni wa bongo fleva au bongo movie?
Ttcl sio inakufa ila inauliwa leo kwenye mkutano wa ccm alisimama waziri wa sayansi na teknolojia bila aibu akasema kuna sehemu nyingine makampuni ya simu hayawezi kutoa huduma kutokana na miundo mbinu na wateja wachache ila wametenga pesa maalumu kuyashawishi makampuni hayo yaweze kwenda kuwekeza.Kwanini hizo pesa wasipewe TTCL kwani kazi ya kampuni ya umma ni kutoa huduma unapoipa kampuni binafsi unaipa kwa manufaa ya nani?TTCL kweli ina mtandao mrefu siku hizi wanajihusisha na data zaidi. Bado wanarun kwa faida kwani hili dili la mkongo wa taifa litawapa mkwanja wa maana. Na vile vile internet ya ttcl ina kasi na nireliable kuliko others. Tatizo la bundle zao hazihitaji pesa za madafu. MFANO BANDLE YA BANJUKA NI 1000 KWA SAA MCHANA. Lakini kuna bundle nyingine kama ile ya 8gb kwa msimbazi for a week.