Kampuni ya mix by Yass heshimuni wateja haya madisco hapo makumbusho stand siyo haki kwa raia

Kampuni ya mix by Yass heshimuni wateja haya madisco hapo makumbusho stand siyo haki kwa raia

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,818
Reaction score
62,027
Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka, makelele mtindi mmoja hakuna kusikilizana. Hii siyo sawa.

Pia tunauliza mamlaka za kudhibiti kelele, hii imekaaje?. Au kwa sababu siku hizi wafantabiashara wanatoa mabilioni kwa Samia kwa hiyo hamna hata uwezo wa kusimimamia sheria?

Hii siyo sawa ni kero kubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom