Wanunuzi wakati wote huwa wapo, tatizo ni Serikali isiyo na maono. Kila inapoingia, lazima iharibu.Hii ni habari kubwa kwa wakulima wa korosho Tanzania. Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings Intl. imetangaza kununua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania kwa bei ya juu ya ile ya soko. Hii ni faida kwa wakulima wa Tanzania na walaji wa Marekani.
Chanzo Ubalozi wa Marekani.