KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,245
Reaction score
8,533
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana
 
mangi akisikia wafanyaka,i wake wanafanya huu upuuzi anafuta kazi wote .

kama vp mface moja kwa moja ni mweleze kero yako ni mzee fulan hivi very humble

Simjui, ningekuwa namjua ningemface
 
Wewe si wa kwanza kulalamika juu ya hawa wapuuzi, wanakera mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…