Hii ni kitu iliyokuwa organised kwa kushirikisha washika dau muhimu wote. Na usalama kwa watendaji ni 100%. Kwanza watendaji ni watu waliopata mafunzo muhimu, na wanaujuzi si tu wa kujilinda wao wenyewe, bali pia kulinda watu wengine. So kwa upande wetu that is some thing which has already been taken care of!!
Hi JF members!
Nimeanzisha private invastigative firm. Firm hii, inajihusisha zaidi ktk kuwa trace love cheaters na kukolect ushahidi wote, na kisha tunamtafuta mwenza anayekuwa cheated, tunampa options zifuatazo:
1. Atoe kamchango kidogo then tunamkabidhi ushahidi wote tulionao dhidi ya mwenza wake
2. Anatoa advance kidogo kwa ajili ya kuorganise fumanizi ambalo mwenzi wake hatakuwa na namna ya kubisha.
Lengo la hii firm ni
1. Kupunguza kiwango kama si kukomesha udanganyifu wa wapenzi kwenye ndoa
2. Kushusha maambukizi ya ukimwi yaliyojikita kwa watu walio kwenye ndoa ambayo mengi hutokana na kukosekana kwa uaminifu kwenye ndoa
3. kuhakikisha kuwa jamii inazingatia maagizo ya maandiko matakatifu ya kutozini.
4. Kuhakikisha kuwa familia zinakuwa imara na kutoa malezi bora kwa watoto kisha kujenga jamii iliyobora, vitu ambavyo huharibiwa na mifarakano itokanayo na udanganyifu kwenye ndoa.
NINAOMBA USHIRIKIANO WENU WANA JF!!
Regards,
Detective Analysti!!
"Cheaters" ni idea kutoka Marekani kwa vile wenzetu wanaheshimu sana swala la uhusiano wa mwanamme mmoja kwa mwanamke mmoja. Kama kwa Tanzania mwanaume mmoja anaweza kuoa wanawake wengi kadri ya uwezo wake, kampuni yako itaonekana ya kidaku tu kwa vile hatuna msamiati wa cheater katika mazingira yetu unless ulalie upande wa wanawake tu, ambao mara nyingi siyo cheaters kama wanaume.
Hi JF members!
Nimeanzisha private invastigative firm. Firm hii, inajihusisha zaidi ktk kuwa trace love cheaters na kukolect ushahidi wote, na kisha tunamtafuta mwenza anayekuwa cheated, tunampa options zifuatazo:
1. Atoe kamchango kidogo then tunamkabidhi ushahidi wote tulionao dhidi ya mwenza wake
2. Anatoa advance kidogo kwa ajili ya kuorganise fumanizi ambalo mwenzi wake hatakuwa na namna ya kubisha.
Lengo la hii firm ni
1. Kupunguza kiwango kama si kukomesha udanganyifu wa wapenzi kwenye ndoa
2. Kushusha maambukizi ya ukimwi yaliyojikita kwa watu walio kwenye ndoa ambayo mengi hutokana na kukosekana kwa uaminifu kwenye ndoa
3. kuhakikisha kuwa jamii inazingatia maagizo ya maandiko matakatifu ya kutozini.
4. Kuhakikisha kuwa familia zinakuwa imara na kutoa malezi bora kwa watoto kisha kujenga jamii iliyobora, vitu ambavyo huharibiwa na mifarakano itokanayo na udanganyifu kwenye ndoa.
NINAOMBA USHIRIKIANO WENU WANA JF!!
Regards,
Detective Analysti!!
I love it when I see people get busted on Cheaters. I'm interested to see how a similar thing is going to work in Tanzania. One thing I know for sure is there won't be any shortage of participants.
Bubu, Cheaters mbona bado ipo. Au zote za sasa ni reruns?
Mkuu unakiangalia channel ipi na kipo saa ngapi? Nadhani itakuwa ni reruns maana mashabiki wa kipindi kile walisikitika sana kilipofutwa....lakini labda kilirudi tena, ila sina uhakika.
First shown in
[TD]November 26, 1999[/TD]
[/TD][TR]
Original run [TD]October 21, 2000 – present
BAK, bado kipo kwa mujibu wa wiki...
hahahahahah
BAK..
dahhh hicho kipindi ndo kimeanza
sasa hivi huku huku down under..
ni cha huko majuu lakini wanaonyesha huku sasa..
ni balaa buluu kwa kweli..