Kampuni ya kufichua Love cheaters TZ!

Hii ni kitu iliyokuwa organised kwa kushirikisha washika dau muhimu wote. Na usalama kwa watendaji ni 100%. Kwanza watendaji ni watu waliopata mafunzo muhimu, na wanaujuzi si tu wa kujilinda wao wenyewe, bali pia kulinda watu wengine. So kwa upande wetu that is some thing which has already been taken care of!!

Nawatakia kila la heri katika kazi hiyo.
 
Duhhh
Kila lakheri mkuu. .
Hapa kwetu unamkamata mtu
Kwenye action kabisa halafu anakataa..

Na hapo kuzuia
Maambukizo ya UKIMWI
Nadhani hiyo ni danganya toto tu..
Je unauhakika gani hawatumii kinga?

Swali la mwisho..
Nia yako hasa ya kuanzisha hii
Biashara ni nini ??
 
Hi JF members!

Nimeanzisha private invastigative firm. Firm hii, inajihusisha zaidi ktk kuwa trace love cheaters na kukolect ushahidi wote, na kisha tunamtafuta mwenza anayekuwa cheated, tunampa options zifuatazo:
1. Atoe kamchango kidogo then tunamkabidhi ushahidi wote tulionao dhidi ya mwenza wake
2. Anatoa advance kidogo kwa ajili ya kuorganise fumanizi ambalo mwenzi wake hatakuwa na namna ya kubisha.

Lengo la hii firm ni

1. Kupunguza kiwango kama si kukomesha udanganyifu wa wapenzi kwenye ndoa
2. Kushusha maambukizi ya ukimwi yaliyojikita kwa watu walio kwenye ndoa ambayo mengi hutokana na kukosekana kwa uaminifu kwenye ndoa
3. kuhakikisha kuwa jamii inazingatia maagizo ya maandiko matakatifu ya kutozini.
4. Kuhakikisha kuwa familia zinakuwa imara na kutoa malezi bora kwa watoto kisha kujenga jamii iliyobora, vitu ambavyo huharibiwa na mifarakano itokanayo na udanganyifu kwenye ndoa.

NINAOMBA USHIRIKIANO WENU WANA JF!!

Regards,
Detective Analysti!!

Kamanda Analysti;

Utakwama tu Mkuu.

Kuna Kampuni ya namna hiyo tayari na ilifanya kazi kiasi fulani kwa miezi kadhaa kisha wakubwa wakaipiga bit kwa kuwa ilikuwa inaharibu mipango yao ya "Small House" aka "Mpango wa Pembeni"

Pia bado hatuna sheria ya Private Detectives kwani upelelezi wote kwa sasa unafanywa na police officially CID.

Najua kwamba bado IGP na timu yake wako katika mchakato wa kuangalia uwezekano wa kuwepo kwa sheria hii.

Respect.
 
I can only advise you of possible options and alternatives. All at your risk!

Kumbuka you will be tempering with Peoples Style of Life
 
Mtakuja kutandikwa vibaya sana, subirini tu......Naona mtafute njia nyingine ya kutafutia hela
 
"Cheaters" ni idea kutoka Marekani kwa vile wenzetu wanaheshimu sana swala la uhusiano wa mwanamme mmoja kwa mwanamke mmoja. Kama kwa Tanzania mwanaume mmoja anaweza kuoa wanawake wengi kadri ya uwezo wake, kampuni yako itaonekana ya kidaku tu kwa vile hatuna msamiati wa cheater katika mazingira yetu unless ulalie upande wa wanawake tu, ambao mara nyingi siyo cheaters kama wanaume.
 
copy and paste ni tatizo kubwa nchi yetu

huyu mjasiriamali amegusia swala la dini (dini Tanzania ni social clubs tu , people are not that serious)

Ukirudi nyuma kabisa mababu zetu walikuwa wanaoa wake 2,4 mpaka sita, tena kuna maeneo mengine ambapo mwanamke akiolewa peke yake anajiona ni mnyimi wa fadhila hivyo kulazimisha mme wake aongeze mke!!

swala la mahawara, nyumba ndogo etc ni very common kwenye society zetu, wanawake ni wengi kuliko wanaume

all in all nenda idara za sosholojia na saikolojia wakupe data na facts

unajua kuna vocabulary unaziweka masikioni pa watu wengi kuwa wana CHEAT, in Tanzania it might be lifestyle!!

kwa sisi waislamu the matter is even complicated unaweza ukatoa talaka sasa hivi na mkarudiana kesho asubuhi! kwa wakristo is even worse...and more complicated kwa sababu nyumba ndogo is legalised by a husband and his wife and not a church! akiwa na watoto huko is even complicated

wewe hubiri injili tu watu wamjue Yesu na waachane na tabia za asili, asili yetu ni kuwa na wanawake wengi....haumani kamuulize Zuma!
 
Hi JF members!

Nimeanzisha private invastigative firm. Firm hii, inajihusisha zaidi ktk kuwa trace love cheaters na kukolect ushahidi wote, na kisha tunamtafuta mwenza anayekuwa cheated, tunampa options zifuatazo:
1. Atoe kamchango kidogo then tunamkabidhi ushahidi wote tulionao dhidi ya mwenza wake
2. Anatoa advance kidogo kwa ajili ya kuorganise fumanizi ambalo mwenzi wake hatakuwa na namna ya kubisha.

Lengo la hii firm ni

1. Kupunguza kiwango kama si kukomesha udanganyifu wa wapenzi kwenye ndoa
2. Kushusha maambukizi ya ukimwi yaliyojikita kwa watu walio kwenye ndoa ambayo mengi hutokana na kukosekana kwa uaminifu kwenye ndoa
3. kuhakikisha kuwa jamii inazingatia maagizo ya maandiko matakatifu ya kutozini.
4. Kuhakikisha kuwa familia zinakuwa imara na kutoa malezi bora kwa watoto kisha kujenga jamii iliyobora, vitu ambavyo huharibiwa na mifarakano itokanayo na udanganyifu kwenye ndoa.

NINAOMBA USHIRIKIANO WENU WANA JF!!

Regards,
Detective Analysti!!

Kulikuwa na kipindi kwenye TV kinaitwa Cheaters kilikuwa maarufu sana, basi siku moja watu wakachomana visu nadhani jamaa (wenye kipindi chao) waliogopa sana basi tangu tukio hilo haukupita muda mrefu kipindi kikafutwa. Kwa hiyo kila la heri na uwe muangalifu sana maana unaweza hata kupoteza maisha yako.

Last edited by a moderator:
I love it when I see people get busted on Cheaters. I'm interested to see how a similar thing is going to work in Tanzania. One thing I know for sure is there won't be any shortage of participants.
 
I love it when I see people get busted on Cheaters. I'm interested to see how a similar thing is going to work in Tanzania. One thing I know for sure is there won't be any shortage of participants.

Mkuki kwa nguruwe Mkuu KA :):)...are you sure that you won't be one of the participants!?.....I am just joking hahahaha lol!
 
Bubu, Cheaters mbona bado ipo. Au zote za sasa ni reruns?

Mkuu unakiangalia channel ipi na kipo saa ngapi? Nadhani itakuwa ni reruns maana mashabiki wa kipindi kile walisikitika sana kilipofutwa....lakini labda kilirudi tena, ila sina uhakika.
 
Mkuu unakiangalia channel ipi na kipo saa ngapi? Nadhani itakuwa ni reruns maana mashabiki wa kipindi kile walisikitika sana kilipofutwa....lakini labda kilirudi tena, ila sina uhakika.

BAK, bado kipo kwa mujibu wa wiki...

First shown in
[TD]November 26, 1999[/TD]
[TR]
Original run [TD]October 21, 2000 – present
[/TD]
[/TR]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahah
BAK..

dahhh hicho kipindi ndo kimeanza
sasa hivi huku huku down under..
ni cha huko majuu lakini wanaonyesha huku sasa..
ni balaa buluu kwa kweli..
 
hahahahahah
BAK..

dahhh hicho kipindi ndo kimeanza
sasa hivi huku huku down under..
ni cha huko majuu lakini wanaonyesha huku sasa..
ni balaa buluu kwa kweli..

hahahaha lol! We acha yaani ni vituko vya hali ya juu, lazima utakuwa shabiki mkubwa wa hicho kipindi :):):)
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom