Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 705
- 1,369
Hii kampuni imekua na tabia ya kuondoka jijini Mwanza kuanzia saa tatu asubuhi karibia safari zote. Imekua ni tabia sugu mno.
Hili sio jambo la kiungwana.
Ni usumbufu kwa abiria na uharibifu wa ratiba za abiria.
kama kuna namna mamlaka ya usafiri inaweza kukomesha hili wanajamvi naomba muongozo ntalisimamia hili mpaka wanyooke.