Anavunja gear mwenyeweHapana boss,huyo anaitwa witness yupo ruti ya dar-arusha
Bag la zaidi ya kilo 25 wanaruhusiwa kuchaji mkuu.Wajinga sana watu wa ma bus.kuna kampuni nimeisahau.
Nilipanda bus tokea dodoma nikiwa na mtu fulani tuna bag size ya kati moja na kubwa moja pamoja na gunia nusu la mchele sasa badala wa charge lile gunia hela ya mzigo wakataka na zile bag tulipie ikabidi tu nilipie
usipande hilo basi.. lisusieni likose abiria..! Atabadili route mwenyeweHii kampuni imekua na tabia ya kuondoka jijini Mwanza kuanzia saa tatu asubuhi karibia safari zote. Imekua ni tabia sugu mno.
Hili sio jambo la kiungwana.
Ni usumbufu kwa abiria na uharibifu wa ratiba za abiria.
kama kuna namna mamlaka ya usafiri inaweza kukomesha hili wanajamvi naomba muongozo ntalisimamia hili mpaka wanyooke.
Kila leo kuna abiria wapya na ni ngumu kujua kama lina shida mpaka uwe na safari za mara kwa mara. Kusafiri nalo once a year likachelewa kuondoka huoni kama ni hasara unapotezea. Na kinachowapa kiburi bus za Mwanza zote ndani ni mbaya mnousipande hilo basi.. lisusieni likose abiria..! Atabadili route mwenyewe
Anawatoa taratibu yupo vizuri
Watu wameacha kukariri saivi ndo maana sawaya na mremi wameleta vitu vipya wanajua wasipokuwa makini wanapotea saivi kaskazini kuna gari Kali sana na huduma nzuri dar express alibaki nairobi tu ndo anasumbua. Dar lux atawanyooshaHumjui Sawaya(kilimanjaro)
Na huwajui watu wa Kaskazin wewe.
Dar express ana midude mibovu na bado watu wanapanda
Ulikuwa unaenda wapi totoo[emoji7] [emoji7]nilitaka kupanda mwaka jana ila nikajikuta nmepanda KIDIA ONE kwenda nilienda na Lucky Star kama sikosei
Wachaga kama woteKISBO sina hamu nao hadi leo. Lina sifa kibao ila ingia ndani utahisi umepanda gari za ushirombo.
Naona na yenyewe imeamua kuchimba dawa
Kwa vts hizi hawana jeuri hyo[emoji57] [emoji57]Pole mkuu, Darlux wanabus nzuri sana juzi tu waliingiza Scania G7, Yutong 12+ na higer new model licha ya kuwa na bus mpya ila kwenye time keeping hawa jamaa ni zero kabisa.
Next time panda Kisbo/Kibo (a.k.a kirikiri generation) au Jm ya musoma hizi chuma zinajua kuthamini muda wa abilia, wenyewe wanakwambia hawataki kuharibu ndoa za watu kwa kuwalaza njiani[emoji1787]
Kwani kwenye tiketi wameandika muda wa kuondoka ni saa ngapiHii kampuni imekua na tabia ya kuondoka jijini Mwanza kuanzia saa tatu asubuhi karibia safari zote. Imekua ni tabia sugu mno.
Hili sio jambo la kiungwana.
Ni usumbufu kwa abiria na uharibifu wa ratiba za abiria.
kama kuna namna mamlaka ya usafiri inaweza kukomesha hili wanajamvi naomba muongozo ntalisimamia hili mpaka wanyooke.
Hahahaaa licha ya ubovu wa kisbo ndani ila kila siku linatoboa na kwa pale ubungo huwa linapark nyuma kabisa ila ndo la kwanza kuingizana nyegezi.
Mkuu tafadhali nimeshawahi mimi kwa ajili ya bookingHuyu ndio dereva?? Au conda?? Nataka namba zake nfanye boking ya safari
BanUSIOMBE KUSAFIRI SAFARI ZA MASAFA MAREFU NA BINTI MDADA MREMBO UTAJUTA KWA KUKOSA KUONGEA NAEE
Nakumbuka mwezi wa nane mwaka huu nilienda mwanza nyumbani kutokea DAR kwa basi la DAD LUX pale shekirango tuliondoka saa 7 mchana kwenda mwanza , sasa ndani ya basi alikuwamo binti mmoja mzuri mithili ya miss Tanzanian a probably atakuwa UNIVERSITY STUDENT hapa,, sasa lets go huku[emoji116]🏾[emoji116]🏾[emoji116]🏾[emoji116]🏾[emoji116]🏾[emoji116]🏾[emoji117]🏾[emoji117]🏾[emoji117]🏾[emoji117]🏾[emoji117]🏾[emoji117]🏾 sasa ndani ya basi mie nilikaa siti za katikati upande wa kulia yeye akakaa upande wa kushoto mwa gari kama siti mbili kutoka kwangu , sasa ki ukweli nilitokea kutamani kuongea nae huyo mdada probably hata aniambie jina lake tuuuu sasa kulinhana na hile shobo ya macho ya watuuu MKAKA WA WATU SIMU YANGU IKAISHIWA CHAJI NIKAMWOMBA ANICHAJIE SASA DAH KI UKWELI SIKU ILEEEE NILITAMANI SANA HATA KUONGEA NAE JAPO NIJUE JINA LAKE TUU maana safari nzima nilikaa siti moja na mzee mmoja hivi ila yye alishukia shinyanga dah basi NIKAAMBULIA TUU YEYE KUNICHAJIA SIMU YANGU
Tulipofika mwanza pale ofisi za dar lux nyegezi lilikuwa saa 5 mchana , basi tukashuka sasa sijui binti alinielewa ,, au sijui ninii aseeeeeeeeeee mie harakatii zangu hata sikuwa na idea kuwa nmeshaelewek sijui nisemeje tuuuuuu dah DAH KWA KWELI NI SAFARI AMBAYO ILIENFA VIBAYA SANA KWANGU JAPO ALINISAIDIA KUCHAJI SIMU,,. .
HEY ww ka bintii ka rembo tulio safiri pamoja kutoka dar kwenda mwanza na basi la dar lux na wote tukashukia nyegezi dar lux offices PLEASEEEEE KAMA HUMO HUMU JAMII FORUMS *******NIKUMBUKE MIMI YULE MKAKA PROBABLY THE SAME AGE ,, ,, , NILIEKUOMBA UNISAIDIE KUCHAJI SIMU YANGU NDANI YA BASI , , JAPOOO NAOMBA TUFAHAMIANE TUU KAMA UPO HAPA DSM MAANA TOU LOOK A UNIVERSITY GIRL,,,,, PLEASEEEEEEE NJ IN BOX AU UNAWEZA NI. TAG HAPAA
Bangi mbaya sana!!USIOMBE KUSAFIRI SAFARI ZA MASAFA MAREFU NA BINTI MDADA MREMBO UTAJUTA KWA KUKOSA KUONGEA NAEE

Sawa mkuu. Nimeamua kukuunga mkono mkuuMkuu tafadhali nimeshawahi mimi kwa ajili ya booking
Hapana boss,hiyo ni automatic transmission(at)Anavunja gear mwenyewe
Ulikuwa unaenda wapi totoo[emoji7] [emoji7]