Kampuni ya Dar Lux ruti ya Mwanza-Dar muache ubabaishaji

Kampuni ya Dar Lux ruti ya Mwanza-Dar muache ubabaishaji

Hamna lolote. Darlux wamekuwa jeuri sana. Wamelewa sifa.
Nimekuwa nikitumia sana usafiri wa Darlux, lkn sasa inabidi niachane nao.

Wakati mmoja walinipita Usanda. Pamoja na taarifa za kuwepo pale dereva hakujali.

Nimeshuhudia zaidi ya mara tatu, basi linaloingia usiku halifanyiwi matengenezo. Hufagiwa na kuoshwa tayari kwa safari asbh yake. Hali kama hii ni hatari sana kwa abiria.

Usiwatetee, Darlux wamelewa sifa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukweli ni kuwa Dar Lux wamechoka sahivi, wanaujinga flani et asubuh unatumiwa text safari saa 4, walikuaga na jeuri sanaa kipindi hicho

Sasa hivi kuna Isamilo, Tungi ndio atleast
 
Hizo basi hata kukimbia hazikimbii,kuna Siku nilishuka nikaanza kukimbia kwa mguu nikafika dakika 20 kabla yake
 
Back
Top Bottom